- Thread starter
- #21
Mkoa gn upo mkuuShule za private wanahitaji watu sana hasa huku mkoani ila ela yao ndio hatar 150000-300000 na ndio mana wanapenda form six leavers
Jiandae psychologically aiseeee
Mkoa gn upo mkuuShule za private wanahitaji watu sana hasa huku mkoani ila ela yao ndio hatar 150000-300000 na ndio mana wanapenda form six leavers
Jiandae psychologically aiseeee
BadoUmeolewa mpendwa??
Mshahara huo kwa primary au secondary?Shule za private wanahitaji watu sana hasa huku mkoani ila ela yao ndio hatar 150000-300000 na ndio mana wanapenda form six leavers
Jiandae psychologically aiseeee
Una id mbili au ni technical error?Bado
UDOMsociology chuo gani?
Daaa mtaji wa kwenda post graduate bora ungefungua zako biashara tu usinge kuja kulia lia hapa jukwan
But wish u all the best
Itakua kuna MTU kanisaidia kujibuUna id mbili au ni technical error?
Kwa hiyo jibu lake ni sahihi ?Itakua kuna MTU kanisaidia kujibu
NdioKwa hiyo jibu lake ni sahihi ?
Natafuta Kazi mkuuSawa
Ngoja nione namna ya kujenga intimancy na wewe.
unasubiri nini?Bado
ha ha ha,acha kukalili mkuu,Natafuta Kazi mkuu
ha ha ha,acha kukalili mkuu,Natafuta Kazi mkuu
Sijajua unamaanisha nini, niwe flexible kivip??ha ha ha,acha kukalili mkuu,
usiwaone akina Ana makinda,Tulia akson,getrude mongela ,juliana chonza etc wamefika hapo walipo kwa kushupaza shingo,lazima uwe flexible ooohoo...
Npo huku vijijn kigomaMkoa gn upo mkuu
Tutaipata tuNatafuta Kazi mkuu
Jamaa anataka kitumbuaSijajua unamaanisha nini, niwe flexible kivip??