Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

be careful next semester huwekewi boom plz usije ukaifuja baadae ukaja kuhangaika
 
Hiyo ni pati ya kimya kimya. Kula hiyo pesa dogo. Niliwahi kuingiziwa pesa mara mbili mwaka 2006! By then tulikuwa tunapata boom dogo sana ilikuwa laki na nusu kitu kama hicho. Of course kwenye kulipa wakiangalia statement yako utakuja kulipisha but that will be in the next ten years!
Kwaiyo ulikuja kuwalipa au ilkuaje..
 
Kula hela wacha uoga...

Kwanza kutangaza hapa ushaona uoga, hayo madudu yao ukitaka uwaweze we kula hela taratibu ila usiimalize yote ukiona bumu lingine imewekewa ndio uimalizie
sawa bro
 
mimi ilimtokea room mate wangu 2012.. kwa miaka mitatu from 2009 mpaka 2012 alikula boom mara 2 semester zote.... alinunuaga gari kipindi yupo chuo..

kwenye kulipa deni kadaiwa kwa jina moja tu

waliingiza mara ya kwanza jina ndalandefu na mara ya pili ndala ndufu... huo ni mfano tu nimeutumia
 
ushauri wangu, save it for the future, ukae ukijua kabisa bumu linalofuata hautapata, audit huwa inafanyika na ni lazima wata i trace kwenye account yako, huu ushauri nimekupa kwa sababu uneshaonyesha dalili za kutaka kuipiga

ukitaka kila kitu kiende sawa ka report sehemu husika, waichukue hela yao, hizo batch zinazofuata ni muhimu sana kwako kuliko kuwa blacklisted kwa utapeli
Thanks much, nimekuelewa mkuu
 
mimi ilimtokea room mate wangu 2012.. kwa miaka mitatu from 2009 mpaka 2012 alikula boom mara 2 semester zote.... alinunuaga gari kipindi yupo chuo..

kwenye kulipa deni kadaiwa kwa jina moja tu

waliingiza mara ya kwanza jina ndalandefu na mara ya pili ndala ndufu... huo ni mfano tu nimeutumia
dah! Basi kuna uwezekano na mimi nikadaiwa jina moja tuu ilo lingine wakalipotezea kama uyo jamaa nini..
 
Pesa ya malazi haina asilimia.
Ada Ndio Ina asilimia na hela ya field
 
Ilinitokea pesa za Tp,
Na sisi mm tu,
Tuliizipiga sana.na
Hakukutokea kitu.
 
Back
Top Bottom