Recent content by coscated

  1. coscated

    JamiiForums Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Ndiyo, odometer INAHARIBIKA. Na ndiyo, ukinunua mpya gari litaonekana limetembea kidogo. Lakini hapo ndipo ujanja na wizi ulipo. Odometer inaharibikaje? Kuna aina 2: 1. Ya zamani - Analog (yenye namba zinazozunguka) Hii inatumia kebo ndogo (cable) kutoka kwenye gearbox kwenda kwenye...
  2. coscated

    JamiiForums Jaji Mkuu Masaju aapishwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi

    https://www.jamiiforums.com/threads/jaji-mkuu-masaju-kesi-ya-mwezi-mmoja-mnasema-ichukue-miaka-miwili-hiyo-mahakama-itaheshimika.2430533/
  3. coscated

    JamiiForums Jaji Mkuu Masaju aapishwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi

    https://www.jamiiforums.com/threads/jaji-mkuu-masaju-awataka-mawakili-wasiwe-wanaharakati.2452212/
  4. coscated

    JamiiForums Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    Abraham Lincoln HAKUWAHI kusema hiyo kauli. Haiwezekani kabisa aiseme. Kwa nini haiwezekani? 1. Lincoln alikufa mwaka 1865. 2. Internet iligunduliwa miaka ya 1960-1980. 3. Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram ilikuja miaka ya 2000. Sasa mtu aliyekufa 1865 atasemaje "usiamini watu wa...
  5. coscated

    JamiiForums Mtandao wa Siri

    Wangekuwa wameruhusu mashirika ya nje ya uchunguzi yaje kuwasaidia.
  6. coscated

    JamiiForums Nini kimetokea kwa bwana mdogo Dominic Mmasi wa Room of Jeans?

    Mbona wakati wa Lincoln internet ilikuwa bado haijavumbuliwa, yeye alijuaje?
  7. coscated

    JamiiForums Kumpunguzia madaraka Rais ni kumuandalia kifo Rais na mapinduzi ya kila mara

    Hata huyo atakepindua nchi atakuta mhimili wa mahakama upo imara, bunge lipo imara, vyombo vya habari vipo imara unadhani hata yeye anafikiri wazo la kupindua?
  8. coscated

    JamiiForums Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

    Kama kawaida
  9. coscated

    JamiiForums Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

    Sawa, tuchambue hoja zako moja moja kwa ukweli uliopo, bila kupamba. Ili iwe rahisi, nimezigawa katika KWELI, NUSU KWELI, na SI KWELI. YALIYO KWELI AU KARIBU NA UKWELI: 1. Netanyahu alilalamika Waarabu wanapiga kura sana. Kweli. Machi 2015 alisema "Harakati za Kiarabu zinaenda kwa wingi...
  10. coscated

    JamiiForums Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu

    Unajifanya una ngozi ya chuma, ikiguswa inabonyea, kurudi nyuma naona mbali bora mbele kuelekea. FID Q
Back
Top Bottom