Recent content by Corrie de killer

  1. C

    eFootball Special Thread

    Sawa haina noma
  2. C

    eFootball Special Thread

    Ninashida nahizi treasure link kwenye account yangu ya pili inabidi kesho tufanye jambo kama haupo online sasa
  3. C

    eFootball Special Thread

    Mm nipo tuma code
  4. C

    eFootball Special Thread

    Mill broh upo
  5. C

    eFootball Special Thread

    Nitajaribu kuifanyia kazi hiyo 4312 nione kama itanipa matokeo mzurii
  6. C

    eFootball Special Thread

    C ile ya kuanza mashambulizi na attacking midfielder, pia nitumie 4222 au 4213
  7. C

    eFootball Special Thread

    Gilberto_ tumalizie kiporo chetu
  8. C

    eFootball Special Thread

    Kwahiyo hapa natakiwa viungo niwapndishe juu kidogo
  9. C

    eFootball Special Thread

    Hazard bado sija muongeza SS position natumaini Nakata atajaribu.
  10. C

    eFootball Special Thread

    Noted.. sema konami wananiletea watu wa rate ya 3190 na kuendelea
  11. C

    eFootball Special Thread

    Niliwahi tumia coin 900. Kuspin kwa mara moja nikatok hola, toka siku hiyo nimeacha kuspin
  12. C

    eFootball Special Thread

    Batistuta, mbape na messi ni combo nzuri nikiwawek pale mbele wote
  13. C

    eFootball Special Thread

    Napendelea lbc mara nyingi
  14. C

    eFootball Special Thread

    Timu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha
  15. C

    eFootball Special Thread

    Naona tigo leo inanigomea
Back
Top Bottom