Recent content by cornerstone

  1. C

    Unaijua shule hii....!!!

    hivi watu wanaokaa hapo mwisenge wanaitwaje??
  2. C

    Haya ndo matusi ya wabungeambayo spika ameahidikuwashitaki polisi

    naomba nikukune na kikunio nazi
  3. C

    Mukama(Katibu mkuu wa zamani wa CCM) yuko wapi?

    Kwani shabu ni ugonjwa??
  4. C

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    https://soundcloud.com/newsaddict/se...dict/serukamba
  5. C

    Jaman naombeni ushauri wenu,madeni yamenizungka kila kona

    unamaanisha hicho? kama ni chenyewe basi [MENTION]Dominick Charles enjoy
  6. C

    Wapinzani walipoteza furusa 2010, HAWANA NAFASI 2015!

    yeye mwenyewe kakaa kimya unaleta yale mambo ya kina musa nkangaa kufungua kesi eti kwa vile batilda katukanwa kama sio yeye ana aje mwenyewe hapa kukana vinginevyo umeona maoni ya watu bila kujali kama ni yeye au sio yeye wamemchana livu na chama chake kama wana akili watakuwa wamepata ujumbe...
  7. C

    TAPIKA NYONGO YAKO yoooote HAPA!!! USIAMALIZE NAYO 2013, INGIA 2014 UKIWA FRESH!!!!

    duh umenikumbusha mzungu mmoja siku moja alikuwa nahubiri kwa kiswahili kumbe kiswahli hajui vizuri akawaanazungumzia kuhusu upendo akasema ‘‘Amri mpya ninawapa: Mpandane kama Mimi nilivyowapanda ninyi, vivyo hivyo nanyi pandaneni. ...... watu kanisani wakazimika haaaa haaaa haaa
  8. C

    TAPIKA NYONGO YAKO yoooote HAPA!!! USIAMALIZE NAYO 2013, INGIA 2014 UKIWA FRESH!!!!

    Mungu yangu yaani unawavua boxers na kuwapiga ktu cha Arusha live watalewa hao
  9. C

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    leo mshindi ni mimi
  10. C

    Why intelligent people drink alcohol?

    aisee hivi unamaanisha wafuasi wa ibilisi wanajua kufir....... au kufarijiana?
  11. C

    Why intelligent people drink alcohol?

    If we are using the United Republic of Mandingo constitution then madness is the president and drunkenness is the vice president
  12. C

    Why intelligent people drink alcohol?

    Juzi nilikuwa nikiperuzi kwenye mtandao nikakuta wanasema mama mjamzito akitumia kilevi anashusha uwezo wa mtoto kiakili y. sasa najiuliza inakuwa mama mjamzito akitumia kilevi uwezo wa mtoto kiakili unashuka inakuwa watu wengi wenye akili ni watumiaji wazuri wa vilevi? na je nini kinachoanza...
  13. C

    Ww unakumbuka ulianza na simu ipi????

    Thanks to you too. unajua test ya maisha ni tofauti kati ya asiye nacho na aliye nacho sasa siku huwezi kumjua maskini wala tajini kweli umaridadi huficha umaskini yaani unaweza kumkuta kapeche haju hata atakula nini machana lakini anamiliki simu ya milioni ambayo kazi yake ni kutuma na kupokea...
  14. C

    Ww unakumbuka ulianza na simu ipi????

    kumbe umeanza kutumi jana jioni sakapal wangu, ila kama unajimudu miliki simu usijefuga mbwa ukitegemea matapishi ya jirani kama baadhi ya kina dada wa mjini kila saa nitumie hata mia tano sasa mia tano ni hela ya kuomba kwenye simu kweli. maani mimi mwenzio nilinza na tritel enzi hizo nilikuwa...
  15. C

    Hii Ndio PC Anayotumia Mbuzi Mzee

    kumbe mbuzi aliyezee ni mzungu koko
Back
Top Bottom