Recent content by Corluka Neven

  1. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, ni kweli kidole cha pete kina mshipa maalumu unaounganisha na moyo?

    Iko ndio kidole pekee kinacho peleka damu kwenye MOYO Ishara ya upendo na kukuweka moyoni.......
  2. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa Tiba Mionzi kuweni makini na afya za watu. Majibu yenu ndio yanabeba hatima za watu

    Basi bwana, kuna mzee mmoja alitoka kijijini akafikia kwa wanawe Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya hapa na pale. Kwa kuwa familia hii ni majirani zetu na pia ni watu wa kuficha mambo yao, hawakutaka kusema yule mzee alikuwa anaumwa nini. Sisi majirani tulikuwa tunamuona yule mzee anatembea...
  3. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    KIOO LTD
  4. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Wakina nani hao?? 8 per month
  5. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanyama wa kike kushindwa kutoa maziwa pindi wakiwa wamezaa

    Wangu Toka Azae hali tena pumba yani hatki kabisaa tofauti na kabla hajawa na mimba!! Je shida ni nini??? Dawa nzuri za kuchoma ni za nchi gani au kampuni gani??
  6. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Unakuta Mtu anamwachia demu wake geto hadi wiki nzima halafu yeye anaendelea na misele ya kutafuta maisha. Ipo siku yako!

    kuna mmoja nili muacha .kikawa kila saa kinapiga simu kwann nafungulia mbwa nikiwa naondoka kazini😂😂😂Mimi huwa nawaacha peke yake ila nafungulia mbwa nina Doberman 2 na Beligium malinos 3 na wote huwa wanamtindo wa kukaa mbele ya geti la nje akifanikiwa kuiba na kupita nazo nitampa saluti
  7. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    83% wameongea ukweli mtupu kuhusu tabia zao@ wengi wao wameongea ukweli unao fanana kabisaa kwenye comment@Dada yangu ameolewa na watu wa huko@ pia nina mchumba nimempata huku kazini😨 yani ni vile vile kama watu wanavyo sema kwenye idadi nyingi ya comment 🤐kila la kheri@ umeniwai maana na mimi...
  8. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Fisi

    Kisarawe
  9. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa kunyongwa

    Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu. 1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua...
  10. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaitwa Ugonjwa wa ngiri?

    Kwanini ugonjwa wa Hernia kwa kiswahili au kwa maana nyingine watu wana uita ugonjwa wa NGIRI?? Utasikia jamaa Ngiri imempanda🙊
  11. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Uku kwetu yapo ndio machinjio makubwa!! Tabata kinyerezi
  12. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Binti anataka kuharibu penzi la mama yake kwa baba aliyemlea tangu akiwa na miaka 7

    Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻 Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma zote jamaa akawa anatoa. Baadae yule mwanamke wakafanikiwa kupata watoto wengine, sasa yule binti...
  13. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

    Mimi ni muumini sana wa kufanya check up ya mwili mzima..Ayo yote sina..but huwa najiulizaga tu inakuaje kuaje
  14. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

    😃😃😃 Hii ni tangu Enzi zile za darasa la nne B.. kwenye mada za magonjwa na dalili zake..huwa mwalimu akigusia kitu fulani huwa gafla inatokea hivi!! Tangu 2003
  15. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

    Nikisikia jambo zito au stori inayohusu gonjwa baya mtu kapata au nikisikia taarifa yeyote ya oparesheni kubwa mtu anafanyiwa ninaemjua huwa mguu wa kushoto unaishiwa nguvu (yani unalegea kabisaa kama dk chache then unarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Back
Top Bottom