Recent content by Copy

  1. Copy

    Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

    Sasa mbona Trump anaomba msaada mpaka kwa mchina ili iweje? Kama tayari wanamiliki anga la Iran? Tatizo mnasikiliza uongo wa Trump bila kujiuliza mara mbili.
  2. Copy

    Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Asante sana. Wacha tuzidi kuchukua elimu.
  3. Copy

    Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Kuchelewa kuwekeza, iwe shamba, kiwanja, hisa, nk. Maana kuna sehemu niliwekeza kidogo sana wakati nasoma ila pamekuja kuwa msaada sana kwangu kama sehemu ya kuinukia kimaisha. WEKEZA.
  4. Copy

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Mpaka hapo, tayari kuna asilimia kubwa zaidi ya serikali kupinduliwa na Marekani kuweka mtu wao hapo.
  5. Copy

    Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

    Ungeichangamkia usiku ule ule, unaihamishia kwenye simu.
  6. Copy

    PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

    Unasemaje mkuu? Nafikiri hao matajiri unawataja tu ila uhalisia wao na biashara zao huujui kabisa.
  7. Copy

    Kwa mtaji wa 50 Milioni nizalishe bidhaa gani niingize sokoni kuutafuta utajiri

    Unajua mpaka leo hii, Tanzania tunagiza toothpick nje ya nchi? Stick za kuchomea nyama(mishkaki) pia hatutengenezi! Malighafi zipo(mianzi) ipo kibao iringa na Morogoro hapo. Mashine complete(production line) niliuliza haizidi 15M pesa ya kitanzania pamoja na kodi. Hebu jaribu kulichakata hili...
  8. Copy

    GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

    Yaani kwa namna ulivyosimulia, ni kama movie flani hivi. Pole kwa walio fiwa.
  9. Copy

    Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Tangu tetesi zilipoanza nyakati za mzee J.K, bora angetoa tamko la kukana. Leo anavuna mavuno magumu ya tetesi hizo.
  10. Copy

    UPANDISHAJI KWA NGURUWE KWA NJIA YA MRIJA (ARTIFICIAL INSEMINATION)

    Ngoja niitunze hii post, nitakuhitaji miezi michache ijayo.
  11. Copy

    Vibrated Block Machine

    Una maana complete pamoja na mixer yake?(japo hujahusisha kwenye picha)
  12. Copy

    Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Yawezekana ni kweli kwa kile ulichoshauri mkuu. Ila nafikiri sio wote, maana nimepata mke mwema kutoka Arusha, naishi nae mwaka wa 8 sasa sijaona matatizo kutoka kwake. Changamoto ni chache sana na zenye kuvumilika kibinadam. Namshukuru Mungu kunipa mke mwema kabisa.
  13. Copy

    Story ya mwanangu: Tukumbuke shida tulizopitia ziwe funzo maishani

    Jitahidi uimalizie mapema mkuu, maana story za humu ukiweka kwa interval ndefu wengi wataipotezea, wakati wengi wetu tunataka tujifunze kwa bwana Juma.
  14. Copy

    "Tunaenda kufyeka Kichaka cha Ranking"Alisikika Shabiki wa Utopolo Akiwa Amelewa Supu ya Mbwa na Mihogo

    Nafikiri kimataifa inalipa zaidi. Kombe ligi kuu yetu, mshindi hapati hata 1B tu, wakati kimataifa hiyo ni pesa ya kawaida.
Back
Top Bottom