Recent content by Coolant

  1. Coolant

    JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani Andrew Lentz nae yupo Ikulu akisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande

    Japokua wahenga wanasema "usikatae wito, kataa neno" ila hao mabalozi wamekubalije kwenda kusikiliza ujinga.
  2. Coolant

    JamiiForums Tanzania Heri ya Eid al-Fitr, furaha na amani iwe nanyi 🌙⭐

    Eid ipi? ya bakwata au ya answari suna?
  3. Coolant

    JamiiForums Tanzania Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Maelezo mazuri, pia mimi naona ongezeko la watu limechangia upungufu wa samaki. Ukipita maeneo ya ziwani nyakati za usiku idadi ya wavuvi ni kubwa hadi inatisha.
  4. Coolant

    JamiiForums Tanzania Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Unataka kusema hata huyu wa kwetu wanamuona akiwa ana poo, au hawana mpango nae?
  5. Coolant

    JamiiForums Tanzania Huna Sababu ya kung’oa Jino Lako, Njoo Utibiwe mapema

    Hiyo root canal treatment ndio inahusisha ma X-ray mengimengi?
  6. Coolant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello fam it is me beautiful girl

    Bado asubuhi sana mrembo, ngoja kwanza tukatafute hela.
  7. Coolant

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

    Nakumbuka kipindi cha tamasha la michezo ITV siku ya jumapili. Alikuepo mwamba Patrick Nyambela na captain Michael Malue, nilikua sikosi kuangalia hichi kipindi. Nakumbuka 1999 walirusha mechi ya fainali ya UEFA kati ya Bayern na United, japokua ilikua marudio ila tuli enjoy sana.
  8. Coolant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Kwakua bado una nafasi, oa mwanamke mwenye mtoto wako usije ukajutia badae maana hakuna mwanamke anapenda kuona mume wake ana hudumia mtoto wa nje. Hata ukisema umchukue mtoto ukae nae bado utakua hujamaliza shida. Maugomvi hayataisha ndani, mshukuru Mungu kwakua bado una nafasi ya kuyaepuka.
  9. Coolant

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Kijana kama wewe sio mbogamboga sahau kupata hizo nafasi maana wanachukuana wenyewe kuanzia ngazi ya matawi, kata hadi wilaya. Nakuonea huruma sana ila ndivyo ilivyo, cha msingi usijichoshe.
  10. Coolant

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ungekula kila siku bila kuchoka?

    Kila siku Ugali dagaa, kwenye dagaa weka pilipili hoho za kutosha, karoti, bamia na nyanya chungu.
  11. Coolant

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Amefanya vizuri ku edit
  12. Coolant

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Wenye masters ndio mnaandika bila paragraph?
  13. Coolant

    JamiiForums Tanzania Contents Creators kuombewa 2B ni akili Matope ina maana Tanzania haina vipaumbele?

    Huo upumbavu sio hata wa kujadili.
  14. Coolant

    JamiiForums Tanzania NHC Kijichi hizi bei

    Ndio maana zinachakaa mapema.
Back
Top Bottom