Wana JF.
Hili ni jukwaa pekee ambalo tunathubutu kusema ukweli wazi wazi.
Naamini kabisa kuna wanajukwaa humu wanaujua ukweli. Hebu tufunguke, kwanini viongozi wa Kanisa hasa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wanapinga sana suala la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ninachokiona, Hatujawekeza vya Kutosha katika vyuo vya Kati.
Kwa mfano, katika suala la ujenzi, Halmashauri nyingi zinahitaji mafundi sanifu, wasanifu majengo n.k lakini unakutana ni wachache sana.
The likes of Arusha Techinical College tungeviongeza katika kila mkoa ikiwezekana. Vile vile kwa...
Helo WanaJF,
Jana tarehe 06/04/2021 alipokuwa akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu na Wakuu wa Taasisi za Serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitoa maelekezo ya kuangaliwa upya uwezekano wa kuchimba madini yaliyopo kwenye maeneonya hifadhi hasa...
Mkuu, nimewaza kwamba kulingana na wazo lako ambalo wengi tunaweza kuliafiki.. Je kwa kipindi ambacho bado anajifunza.. anapaswa kufanya nini.. Kumbuka hakuna kuendesha nchi kwa majaribio..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.