Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

karibu mkuu

ila naona kwenye zile za nyuma data za mafuta hazipo (katika tovuti niliyoweka hapa)...

mimi nina pickup moja ya zamani sana na nilikuwa sijui ulaji wake wa mafuta. nilichofanya ni vifatavyo:
  • nilichukua dumu la lita 5 na kujaza mafuta
  • yale yaliyo baki kwenye tenki ya gari nilitumia mpaka gari kunizimikia
  • nikaweka zile lita 5 na kufuta kilometer kabla ya kuendelea na safari (ilikujua hizo lita 5 zitanipeleka umbali gani huku nikizingatia spidi isiyozidi 80)
nilitambua kua lita 1 inauwezo kunitembeza kilomita 8. sasa kwa kuwa Crown kidogo ni jibaba sisemi ujaribu ila kama ukipata dumu la lita kumi, la chuma, huenda ikasaidia utafiti kama Google inakuangusha!

wazo tu mkuu!

Asante kwa mawazo yako. Nitajaribu pia ivyo.
 
Unywaji murua sana wa hii gari ni 13kpl ikiwa speed ila ikiwa slowly ni chini ya hapo!

Kwa Class ya gari tu thats a Luxury Sedan! Kwa kawaida Luxury cars nyingi huwa hazina fuel efficiency nzuri japo intensity itatofautiana kwa vipato vya mtu na mtu!

Ila burudani imo kwa kweli, kama target ni burudani ishi humo ila kama target ni mafuta machache ruti nyingi jisalimishe kwa shujaa wa misele “IST”
Au atafute Toyota sprinter
 
karibu mkuu

ila naona kwenye zile za nyuma data za mafuta hazipo (katika tovuti niliyoweka hapa)...

mimi nina pickup moja ya zamani sana na nilikuwa sijui ulaji wake wa mafuta. nilichofanya ni vifatavyo:
  • nilichukua dumu la lita 5 na kujaza mafuta
  • yale yaliyo baki kwenye tenki ya gari nilitumia mpaka gari kunizimikia
  • nikaweka zile lita 5 na kufuta kilometer kabla ya kuendelea na safari (ilikujua hizo lita 5 zitanipeleka umbali gani huku nikizingatia spidi isiyozidi 80)
nilitambua kua lita 1 inauwezo kunitembeza kilomita 8. sasa kwa kuwa Crown kidogo ni jibaba sisemi ujaribu ila kama ukipata dumu la lita kumi, la chuma, huenda ikasaidia utafiti kama Google inakuangusha!

wazo tu mkuu!
Simple.

Jaza full tank, set odometer ya trip a to 0.

Tembea km kama 100 au 150 katika 80kph.

Rudi petrol station ileile jaza full tank tena.

Hizo lita zitakazosoma ndo ulizotumia kwenye hizo km 100.

Kama umejaza lita 20 basi ujue ulitumia lita 20 kwenye hizo km 100 ulizotembea.
 
Average ni 8-9kpl kwa misele ya town! Kama mfuko wako uko freshi ukitia full tank ukawa unajazia ifikapo nusu tank utainjoy zaidi!

Kama gari haina service au imetokea kwenye mmiliki mwenye mkono wa birika lazma iwe na poor economy 6-8kph kwa misele ya below 40KPH speeds!

Mkuu vipi hii model ya kuazia 2008 - 2013? GRS 200
 
Simple.

Jaza full tank, set odometer ya trip a to 0.

Tembea km kama 100 au 150 katika 80kph.

Rudi petrol station ileile jaza full tank tena.

Hizo lita zitakazosoma ndo ulizotumia kwenye hizo km 100.

Kama umejaza lita 20 basi ujue ulitumia lita 20 kwenye hizo km 100 ulizotembea.
Kwa hapa Dar hio speed ataipatia wapi bila kupigwa mkono? Labda atembee usiku wa manane!
 
Huyo ni muongo hakuna cc ya 3000 kwa toyota crown baada ya 2500 inayofata ni 3500 ambazo nyingi ni hybrid then inakuja 4300cc ambazo hizo cc utazikuta ktk crown majesta v8
Mjomba usiongee usichokijua 😂😂😂 no research no right to speak!
Crown iko kwenye GR engine family ambayo ni successor wa JZ engine family!
GR Engines:
1GR-4000cc ama 4.0L
2GR-3500cc ama 3.5L
3GR-3000cc ama 3.0L
4GR-2500cc ama 2.5L
Engine zinazotumika kwenye Crown haswa ni 4GR na 3GR the same as kwa Mark X!

2GR wanaitumiaga kwenye sedan ya Camry pia crossovers SUV za Toyota kama Highlander, Venza na kwenye full sized SUV kama Prado ndio utaikuta ina 4GR ama kwenye 4Runner au Surf!

Kwenye Lexus wanaiwekaga 2GR kwenye IS350, RX350 n.k
 
Average ni 8-9kpl kwa misele ya town! Kama mfuko wako uko freshi ukitia full tank ukawa unajazia ifikapo nusu tank utainjoy zaidi!

Kama gari haina service au imetokea kwenye mmiliki mwenye mkono wa birika lazma iwe na poor economy 6-8kph kwa misele ya below 40KPH speeds!

Uko Sahihi mkuu

Nimeongea na mwenye gari kamaa hii akaniambia hivi

Kwa trip za mjini gari yake inaenda kutoka 7-9kpl

Na kwa safari za mbali imeenda adi 13kpl

Lakin hii kwa gari yake ambayo engine haijachoka na service iko wakat.

Asante
 
Back
Top Bottom