Nimeshudia mengi ktk simu na email.
Moja ,watu wengi wamefunguliwa au kusajiliwa WhatsApp Kwa kutumia email ya mtu au email ambayo haitumii ilikua Kwa ajili ya WhatsApp.
Pili watu wengi wamesajikiwa Kwa vitambulisho vya ndugu jamaa marafiki na hat hao wauza line.
Tatu,email ziko reliable mfano...
Tunaweza kufuata form five na six ila form four ikawa form six na form two ikawa form four na la Saba. Ikawa form two na la nne ikawa la Saba.
Kwa kuweka mitaala inayo endana na mahitaji yetu .
Mengine ambayo si ya lazima. Yakawekwe jkt ,ambapo kuwe na kambi za kibiashara ,kimkakati ambapo...
Tunaweza kufuata form five na six ila form four ikawa form six na form two ikawa form four na la Saba. Ikawa form two na la nne ikawa la Saba.
Kwa kuweka mitaala inayo endana na mahitaji yetu .
Mengine ambayo si ya lazima. Yakawekwe jkt ,ambapo kuwe na kambi za kibiashara ,kimkakati ambapo...
Tatizo si askofu,tatizo inaanza ngazi ya familia,jamii Kwa ujumla,
Km mnachagua wajumbe WA halimashauri kuu wasiokua na maono au kujua wajibu wao . Ni neema.tu ya Mungu ndoninasaidia hapo lazima papwaye.
Km lengo kurekebisha tuanze na namna ya wajumbe wanavyopatikana na haki kinga na majukum...
Hilo ni Sawa kufanya rejea .
Kitu cha msingi ni kusisitiza mafungu ya mafunzo endelevu Kwa majeshi yetu kwenye Nyanja tofauti tofauti hasa kwenye maghala ya zana zao na kuwahi viashiria vya ajali za majanga km hizo zinapotokea ila ,hata huko pwani 2070 patakua mjini.
Kwa Kua hata bomu...
Suala la kuanzisha kambi mpya si suala Baya, ila linahitaji rasilimali pia.
Nadhani tuna changamoto kubwa kwenye. Huduma za kijamii km elimu afya ,malipo ya wastaafu ,Ajira mpya nk. Kuliko hizo kambi.
Kuna wakati mabomu yalilipuka,majibu tulipewa kuwa kambi ziko kiutaratibu kutokana na...
Hilo ni Sawa ndo maana ya zamani haikutolewa.
Tatizo unapokua na gauge ya reli ambayo mpo nchi chache pia vipuri. Na mitambo kupata ni shida. Hivyo always itakubidi uwe na special order ambayo ni ghali zaidi au upate. Lowest quality ya vipuri kutoka Kwa mwenzako mwenye gauge km yako
Ghalama za ukarabato WA leli ziko Chini kuliko barabara kuzingatia mizigo mizito ndio huaribu barabara na ghalama za uchukuzi Kwa tani Kwa km ziko Chini kwa kuitumia reli kuliko barabara.
Km ingefanyika Kwa usahihi na bila huduma za wamiliki WA maroli.
Hivyo automatic maloli yangerud vijijin...
Wanabodi
Changamoto nyingi za ndoa zinatokana na mambo mengi ila makubwa matatu.
Moja Ni kukosekana Kwa hekima. Busara na maadili.kwa pande zote .
Pili changamoto za muingiliano WA desturi na mila.hapa watu wanaoana Hawajuani hivyo ni namna gani wanaweza kuwa flexible Ku adopt changamoto za...
Ni vema wenza wote vipato vyenu kujulikana ili muweze kupanga mipango kulingana na kipato ila Kwa sababu ya ubinafsi hila na mashaka..sio kitu chema,cha msingi kuwe na just approximate figure ili muishi maisha marefu yenye Amani na furaha.
Ila mwandishi amesema wazi kuna sehemu. Wanawajibika. Vema na kuna sehemu waZembe tena Kwa mitano.
Tusilee wazembe ,MTU anatoka kwenye majukim.yake ya kazi Kwa wakati apate huduma Kwa wakati.
Jamani tuwaonee huruma watanzania
Bongo tuna shida...tunamlaumu JPM halafu baadae bandari ya mwarabu tutamlaumu chifu ushungi, ikiwa atakuja Rai's ambaye ataona kuna tatizo la.mkataba wa bandari.
Mimi nashauri tuvunje mikata na faini tulipe ili Akili ikae siku tukienda kupiga Kura tujue tunafanya maamuzi gani.
Hatuwezi kukwepa...
Dayosisi si lazima ziangalie mipaka ya kisiasa ,kuna mambo mengi ya kuzingatia ,pia km vigezo vikikidhi nadhani wakati ukifika wataipa hiyo hadhi,au wa KKKT wenyewe mnasemajr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.