Recent content by Congo

  1. Congo

    Usitume kwenye Voda kuna Songesha!Wakuu hivi kuna Mtanzania mwenye line ya simu ambaye hadaiwi?

    Kama songesha hakuna namna unazweza kujitoa. Nimehangaika sana wasinikopeshe lakini imeshindikana. Kama kuna mtu najua aniambie. Lakini asiseme unsubscribe. Hiyo najua
  2. Congo

    Chadema: Badili sera ya "no reform no election".

    Vipi. Bado unayaelewa? Yanakiua chama
  3. Congo

    Kwanini Wahitimu wa Degree Hawawezi Kuokolewa na VETA?

    Umetafsiri vibaya wazo la WM. Mimi nakubaliana nalo. Shughuli nyingi tunazozifanya za kila siku ni elimu ya veta. Ukiwa na gari ukajifunza kuendesha, VETA hiyo. Kuna kosa gani ukiwa mhitimu wa Uhasibu, ukaenda VETA kutengeneza makochi, halafu ukatumia uhasibu wako kutunza hesabu za biashara...
  4. Congo

    Chadema: Badili sera ya "no reform no election".

    Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
  5. Congo

    Tanzania ya viwanda inakuja

    Miaka ya hivi karibuni inashuhudia matajiri wakiongezeka. Wanatunza fedha benki. Ndio maana BONDS zikitangazwa fedha zinatolewa zaidi ya bond. Ina maana watamzania wana fedha kwenye mabenki. Nawashauri watanzania weusi. Wasioogope kuwekeza kwenye viwanda. Matajiri wakubwa ni wenye viwanda...
  6. Congo

    Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Inawezekana Kii hajui kama Mobeto ana watoto.
  7. Congo

    Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    CCM ya kwao. Wao wameamua. Wewe inakuhusu nini.
  8. Congo

    Kuna shida yoyote kama efd machine haitumiki kila siku ikiwa TRA wamenikadilia kodi ya kulipa kwa mwaka?

    Wasiliana nami kwenye 0767334505 upate ushauri sahihi. Mie ni TAX CONSULTANT niliyesajiliwa na TRA.
  9. Congo

    TRL imarisheni huduma za reli ya Mwakyembe

    Huduma za treni kwenda Pugu zimekuwa mbovu sana siku za karibuni. Treni zinachelewa. Zinaenda mwendo wa kusuasua. Mabehewa ovyo. Abiria wanaingia bure. Hiyo treni bado inahitajika iimarisheni. Itengeezeeni COST CENTRE yake muine kama inalipa ili ipewe ruzuku ya serikali au mpandishe bei.
  10. Congo

    Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

    Sio kwamba wafanyabiashara hawajui. Tatizo ni namna ya kuwasafirisha na gjarama zake. Hizi ndege za kuungaunga hadi Morocco sio rahisi. Miuondo mbinu ya usafirishaji wa meli poa migumu.
  11. Congo

    Chadema inabagaza sera ya Rais Samia ya 4R

    Pamoja na maelezo yoooote. Mbona hujataja kosa la CHADEMA? Polisi wasiharibu nia nzuri ya 4R za rais.
  12. Congo

    Aghakan vs chadem

    Mie najiuliza kama serikali yetu sikivu inaweza kuwasilikilza Hospitali ya Aghakan/NHIF, wamachinga wa Kariakoo/TRA inashindwaje kuwasikiliza chadema? Ingewaacha hakuna mtu angejua kuna tukio la chadema Mbeya. Tumuimbe Rais wetu awe anaingilia mapema matukio yanayorudisha 4R zake.
  13. Congo

    Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    Walikuwa na ibada zao. Walichagua vitu ambavyo havikuwa vya kawaida kwenye jamii kama miti mikubwa, mawe, jua, nyota, mwezi, milima kuwa miungu yao. Ingawa wanaweza kuwa hawakuwa sahihi kwa mapokeo ya sasa lakini bado walikuwa na ibada zao. Nyingine zipo mpaka leo kulingana na makabila yao.
  14. Congo

    Ruto: Vile Wakenya wameikataa "Finance Bill", tutakopa Tsh. Trilioni 20.6 (Ksh.1 T) ili nchi iweze kujiendesha

    Wantumianhela zao. Wachina wana viwanda vingi. Na biashara nyingi. Wanatoza kodi. Serikali inapata hela kibao. Wanajenga miuondombinu ya nchinyao
Back
Top Bottom