Recent content by conductor

  1. conductor

    Siku tukijua wanaotusababishia maisha kuwa magumu

    Pole Sana. Ngoja tusubiri kizazi kilicho Bora zaidi yako katika kufanya maamuz. Ila usijidanganye kuwa KIONGOZI Yuko Kwa maslahi yako. Hata mwenye nia simuoni.
  2. conductor

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Kama ni kweli si ulete connection sasa?. Unless Acha kuchagua Boss! Mbona za asley n nk alileta...
  3. conductor

    Hivi kweli kuna bishara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

    WAZIR mwizi anaipata Kwa SAA, inatoka hazina anaingia ALMASHAURI..inatoka ALMASHAURI inaingia Kwa MWIZI...cash ..CAG anakuja kutoa majibu badae Sana... billions zimepotea....ila nachojua MAKAMPUN YA SIMU YANAPATA HIYO PESA KWA SIKU.
  4. conductor

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Idea NI nzuri, Ila rekodi ya usimamiz na matumiz ya pesa za watu ndo mbaya Sana, kuamini CCM NI dalili nyingine ya tatizo la kufikiri na akiri finyu...TUTAFIKA hatua tutaanza kumshambulia MTU binafs badala ya mfumo ili kuondoa generalisation. Shabib kuwa bungeni NI matumiz mabaya ya Bunge...
  5. conductor

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Hivi mkisemaga CCM huwa mnamlenga Nani hasa? Mtaje jina huyo kwenye CCM, huwez sema woote...mi Naina tatizo NI usalama wa TAIFA. Ndo shida kubwa
  6. conductor

    DOKEZO Wastaafu wa TAZARA tunasotea stahiki zetu huu Mwaka wa 20, Rais Samia tusaidie

    Nafurahia msaatfu kuteseka kwasababu ndo hao walisababishia vijana wao wa Leo khali ngumu ya Maisha,(ndo walikuwa watunga Sera, wala RUSHWA, Wapiga vigelegele usalama wa TAIFA, watunga Sera). Leo vijana wanakosa shukran kwao kwasaba nao hawakuona kesho ya TAIFA lao . Huu utaratib ndo M40 pekee...
  7. conductor

    Elon Musk arejea tena Top 2 ya Mabilionea wa Forbes duniani

    Technology is a catalitic agent of Worthing on the current earth investments.
  8. conductor

    Concrete design mix (m40).

    1&2. (Minor ). Qn3, (197x(100-29)% :®(super plasiticer reduced water up 29%=0.71)=140kg/m³.
  9. conductor

    Concrete design mix (m40).

    Apart from standardized nominal mix, that mostly used at situ , and structure construction, let now try to calculate at available data of designing advanced mix depending the requirements of clients and quality standards.assuming other factors are constant .How to design M40. Welcome on the field!!
  10. conductor

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Bongo zozo kuimba nakupeperusha bendera NI Kwa matakwa ya nan? tpaul Acha uzwazwa..huo ni UZALENDO..hapo kuna waumini kutoka mataifa mengi...hivyo NI KUONYESHA Utz
  11. conductor

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Simuonei huruma mstaafu, kwani ndo kasababisha haya wakati akiwa mwajiliwa...hata KICHERE soon panga Hilo Hilo na lawama hizo hizo na kadhia hizo hizo za wastaafu zitampata yeye. Unapokalia kiti kizuri ukajioona Bora kesho atakaa mwingine atakubinya hivyo hivyo... MWISHO wa siku inakuwa MILA...
  12. conductor

    ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Tangaza tender basi tukupe maljibu mazur ..usitake cheap Kwa gharama zangu
Back
Top Bottom