Yaan Felix Tshekedi na mtangulizi wake Joseph Kabila wote ni sawa tu.
Chamsingi Tshekedi ajipange vizuri tu katika kutekeleza na kulinda haki za watu wa Congo kwa maendeleo ya Congo kwa ujumla
Kwakweli wakenya Kiswahili waache kukiharibu maana sio kwa kuboronga huko wakiwa wanaongea. Eti hamna ngori mazey, yule mdada mcute, makarao, mwenye anajua mahali stima iko Ina produsiwa. N.k ushauri jifunzeni kwanza kabla hamjaanza kuongea.
Museveni kana kwamba hajui kiongozi Bora ni yule anae kubali kukosolewa, kishauriwa na hata kuonywa inapo bidi but hii imeshakuwa tendes kwamba kumkosoa, kumshauri ama kumuambia kiongozi ukweli kuhusu mapungufu yake nisawa na unamtukana. Je this is democracy ambayo nchi nyingi za ulimwengu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.