kwa jinsi mchakato wa katiba unavokwenda sidhani kama watanzania watapata katiba yenye matakwa yao,Ccm wanajaribu kwa kila njia kuharibu mchakato mzima wa katiba,wanataka mapendekezo yao ndo yawepo kwenye katiba.Hii ni katiba ya watanzania sio ya CCM.
ivi hakuna njia mbadala ya kudhibiti wananchi zaidi ya kutumia risasi?kila siku matukio ya namna hii yanaongezeka!na je hawa wamachinga wanafukuzwa waende wap?au serikali inataka watu waendelee kupiga nondo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.