...hapa wanachadema lazima tukubali katika umoja wetu kuwa kuna mahali tulikuwa tuki "abuse the hospitality of democracy" katika chama..wapuuzi wanaojifedhehesha kisiasa ktk jf leo hii, kimsingi hawakuridhishwa na walikatishwa tamaa na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa bavita.. hata...
....hakuna dhambi mbaya kama unafiki...ndio maana ktk taasisi za kiusalama, unafiki unatafsiriwa kama uasi, ambao adhabu yake ni moja tuuu...hapa tunachokiona kikiibuliwa ktk skandali nzima ni unafiki wa vijana wengi ktk cdm...basi..kama kulikuwa kuna mawasiliano ya kujadili masuala ya chama...
....kwamba kuna binadam wasio na hatia wamepoteza maisha wiki iliyopita katika eneo la mashariki ya kati kutokana na "matumizi ya silaha" ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha...na kwamba baadhi ya masheikh na maimamu wetu wa kiislam wamekuwa wawazi mno katika kushutumu( sheikh mkuu wa bakwata...
...kwetu sisi wa mtaani ambao tukitazama "necha" ya kinachojadiliwa huamini pia ushahidi wa kimazingira (tofauti kabisa na kina "joni kisomo" wa bungeni, na wa "humu jf" halikadhalika) hatuajaamini kama profesa kaongopa...ushirikiano wa kutafuna "za umma"...huwafanya hata mahasimu wa itikadi za...
.....kaka ndani ya "mama afrika" iliyobarikiwa na aliejuu hakuna umasikini...lkn kuna kukosa nidhamu na madhara yake...itazame rwanda...hawana dhahabu wala mafuta...lkn wana nidhamu...! Na wanasonga mbele kwa kasi ya kushangaza (kama si kuonea gere)...geuka kisha itazame nigeria au sudan...au...
...hao ndio maimamu wetu wa zama hizi ktk tanzania....kwamba serikali ilishatoa taarifa kuwa fareed (sheikh?) alijiteka mwenyewe(hapanshaka kutia nakshi uanaharakati wake)...kwao si taarifa ila tu taarifa kwao itakuwa ni ile ya tume huru itakayoundwa na serikali hiyo hiyo...subhana llah...!
Ikulu MoU ni nyingi mno na zimesainiwa na watu wengi. Chaajabu ile MoU ya Ujerman ya kusidia maendeleo ya jamii chini ya KKKT ndo pekee inatajwa.Usione visima vinavyochimbwa na Mashirika ya dni ya kiislam yanakua yamekubalili kwa kusaini Memmorandum of understanding.Pale ikulu sio kweli kwamba...
....gaddafi alianza kwa "kurarua" mamlaka iliyokuepo madarakani wakati huo...na akiendelea kurarua kula aina ya upinzani dhidi yake ktk style ya usiri ambao ulimwengu haukuujua...ahmednejad ameingia madarakani "kidemokrasia" na anaondoka baada ya kumaliza muhula wake wa pili...chambilecho...
...isije kuwa walipokea milungula toka kwa wamiliki wa daladala, walete fitina "mbuzi", maanaake habari ya usafiri wa treni ilikuwa kama ngurumo ya simba marara kwa wamiliki wa daladala..!!
....sijawahi kumshabikia marehemu gadaffi hata mara moja..lkn kwa ambao waliokuwa wakimshabikia gadaffi, hawakufanya kosa, na hoja kuwa alimsaidia fashist haina mshiko kwa sababu mwaka 1980 wakati wa mkutano mkuu wa viongozi wa oau ambao haukufanyika kutokana na idadi ya wajumbe kuweza...
...ni rais wa zanzibar mwenye asili ya pemba..! aaah! baada ya waunguja kuwa ikulu kwa kipindi kirefu, alhamdullillah...ni zamu yetu sasa... na ubunifu si haba...!! namna mpya ya kusheherekea ied .! kila zama na kitabu chake yakhe...mwenye wivu.......!!!!
....teh teh teh...umenikumbusha kipande kimoja cha baba moi wakati akiwa bado "uraisini" alipokuwa "akiwaponda" wapinzani...alisema.."...wamezubaa (wapinzani) kama kuku ambaye keshafunguliwa kamba za miguu lkn hajitambui..mpaka umpige teke ndio ktk harakati zake za kukwepa (yeye kuku) anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.