Tanzania sio masikini Watanzania ndio tu masikini

tutoke

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
47
Reaction score
13
nasema hayo na tujiulize msafara wa rais wa nchi masikini gari 45 ndio umasikini au wananchi ndio masikini kuzindua jiji tu mji mzima wa arusha umejaa mashangingi na mount meru hospitali hakuna hata asprin je huu ni uungwana?
 
The president can use so many vehicles in his motorcade if deemed necessary. This could be due to security reasons. What's the big deal here?
 
nasema hayo na tujiulize msafara wa rais wa nchi masikini gari 45 ndio umasikini au wananchi ndio masikini kuzindua jiji tu mji mzima wa arusha umejaa mashangingi na mount meru hospitali hakuna hata asprin je huu ni uungwana?
.....kaka ndani ya "mama afrika" iliyobarikiwa na aliejuu hakuna umasikini...lkn kuna kukosa nidhamu na madhara yake...itazame rwanda...hawana dhahabu wala mafuta...lkn wana nidhamu...! Na wanasonga mbele kwa kasi ya kushangaza (kama si kuonea gere)...geuka kisha itazame nigeria au sudan...au jamhuri ya muungano...
 
Yaani wataka kusema kwamba akili za wa tz zina kaulemavu kwa mbali au !!!!

Pigia mstari ndo jibu hilo sio Watz tu almost 80% of Black people akili zetu hazipo sawasawa
 
.....kaka ndani ya "mama afrika" iliyobarikiwa na aliejuu hakuna umasikini...lkn kuna kukosa nidhamu na madhara yake...itazame rwanda...hawana dhahabu wala mafuta...lkn wana nidhamu...! Na wanasonga mbele kwa kasi ya kushangaza (kama si kuonea gere)...geuka kisha itazame nigeria au sudan...au jamhuri ya muungano...

Rwanda isiwe kipimo cha mfano kwani wao wengi wamekufa.wamekimbia Inchi. wengi hawakusoma ingoje RWANDA baada ya miaka 20 ijayo hayo yote hutayapat
 
tanzania siyo maskini na watanzania baadhi siyo maskini
 
umaskini wa akili!!! hilo tu ndo tatizo kubwa Tanzania hamna jingine.. tukiliondoa hilo mengine yote yatasepa fasta
 
Back
Top Bottom