Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

The Life of Iranian President Ahmedinejad




I am sending this exclusively to you with a personal request to forward this to all/any of the politicians however their ranks be at the Centre or States, either individually or Organization wise at the respective Govt.levels, as I do not have even a single id of any. Thank you.

hpsarathy
The Life of Iranian President Ahmedinejad


The FoxNewsTV (USA) asked the Iranian President Ahmedinejad,

'When you look into the mirror in the morning, what do you say to yourself?'

He answered: 'I see the person in the mirror and tell him 'Remember' you are
no more than a small servant, ahead of you today is the heavy responsibility,
and that is to serve the Iranian nation.'

Ahmedinejad, the Iranian President, who astonished many when he first reached the
office of the Presidency by donating all the high valued Iranian carpets to one of the
mosques in Tehran by replacing them with the low cost ordinary carpets. He observed
that there was a huge extravagant lounge for receiving and welcoming the VIPs and
he ordered it to be closed and asked the protocol office to arrange for an ordinary
room only with wooden chairs.


On many instances he joins the cleaning staff of the municipality for cleaning the streets
in the area where his home and the Presidency are located.

Under his authority whenever he appoints any minister to his post he gets a signed
document from him with many points particularly highlighting that he shall remain poor
and that his personal and his relatives accounts will be watched and the day he leaves
the ministry shall be with dignity, and therefore it is not lawful for him or his relatives to
take any advantage of his office. First of all he declared himself for all the 'Big' wealth
and the property he owned was a Peugeot 504 car, Model 1977, an old small house
inherited from his father 40-years ago in one of the poorest zones in Tehran . His
accounts with a zero balance and the only money comes in to his a/c was from his
salary from the university as a lecturer with an amount of US$ 250 only.


For your information, the President still lives in that same house. This is all what he
owns; the president of one of the world's important countries; strategically, economically,
politically and with regard to its oil and defence. He even doesn't take his personal
salary with the argument that all the wealth belongs to the nation and he is to safeguard over it.


One of the things that impressed the staff at the presidency is the bag the President
brings with him every day, which contains his breakfast; some sandwiches or bread
with olive oil and cheese prepared by his wife and eats and enjoys it with all happiness.

One of the other things he changed was his personal carrier 'The President's Aircraft'
to a cargo aircraft in order to save the spending from the public treasury and he ordered
that he would be flying with the ordinary airline in the economy class.. He organizes
meetings every now and then with all the ministers to know their activities and efficiency.
He closed down the office of the Manager of the President and any Minister can enter
his office without any permission. He also stopped the welcome ceremonies like the red
carpet, the photo session or any personal advertisement or respect of any kind while
visiting any place in the country.


Whenever he has to stay in any of the hotels he asks them to make sure not to give him a
room with any big bed because he doesn't like to sleep on beds but rather likes to sleep
on the floor on a simple mattress with a blanket.

Refer to some of the photographs which also confirm the above. The Iranian president is
sleeping in the guest room of his house after getting away from his special guards, who
follow him wherever he goes and photo is taken by his small brother according to the
Wifaq Newspaper which published this photo and the next day the photo was published
in most of the world's newspapers and magazines and particularly the Americans. During
the prayer you can see that he is not sitting in the first row. And the final photo is of his
dining room where the president is busy eating his simple meal.


ahmadi-nejad-sleeping.jpg
ahmadi-nejad-praying-2.jpg




ahmadi-nejad-eating.jpg


Try comparing this with the emoluments and privileges our Ministers and Politicians
and Top Bureaucracy get ..... plus the amount of National, Public Property and Resources
they spend and waste to unimaginable proportions as a right, unmindful of any Public
and National Interest !




We wish all those, especially in Public Service see message and
get inspired to right Ways



Kwenye Picture amelala: Kwanini havui viatu? au alikuwa anaonyesha JINSI ya KULALA?

And, Dalai Lama...
 
Dah! Hapa utawagundua wale watu wanaoaminini kila kitu almradi tu kimezungumzia au kinahusu waarabu. Akiambiwa Memorandum of Understanding basi anaandamana akijua kwamba ni kitu cha ajabu sana! Kumbe maanayake ni waraka wa maridhiano. Na huu unakua ni wa hiari bila masharti. Na maridhiano yote yajulikana kama MoU .Mfano Balozi wa Irani anaposema kwamba nchi yake itajitolea kujenga Chuo kikuu cha Kiislam basi makubaliano hayo hayasemwi juujuu tu kwa mdomo bali yanakua na maandishi yanayojulikana kama Memmorandum of understanding. Ikulu MoU ni nyingi mno na zimesainiwa na watu wengi. Chaajabu ile MoU ya Ujerman ya kusidia maendeleo ya jamii chini ya KKKT ndo pekee inatajwa.Usione visima vinavyochimbwa na Mashirika ya dni ya kiislam yanakua yamekubalili kwa kusaini Memmorandum of understanding.Pale ikulu sio kweli kwamba kuna MoU moja tu, zipo nyingi mno .
Kwa hiyo tusiparamie tu taarifa tufanye kwnz utafiti . Habari inayomuhusu rais wa Irani inaonekana ni kama ile ya kuuliwa kwa Joka kubwa la ajabu na Majeshi ya Misri wakati wa mfungo wa ramadhani. Walitoa mpaka picha feki. Nyerere ni zaidi ya rais wa Iran. Alisaidia sana watanzania tukaheshmika . Ukombozi wa nchi za kusini ulimtegemea sana. Misaada ya tende tusiilinganishe na kazi aliyoifanya Mwalimu. Angeweza kujilimbikizia mali kwani watu walikua bado wajinga lakin alitunza rasilimali mpaka mwinyi alipoanza kuuza mbuga za wanyama kwa waarabu na kualika ufisadi wa kuiibia nchi.
 
Huyu jamaa amenigusa sana, hatofautiani sana na Mahatma Gandhi. Kwa dakika ambazo huu uzi umekaa jamvini na sioni maoni inamaanisha wanajamii wameshikwa na butwaa, hawajui hata cha kusema. Kwa kuongezea ni kiongozi asiyeyumba wala kuyumbishwa na mwenye msimamo. Gadafi alianza hivi, kwa mfano kuishi kwenye hema lakini mwisho wa siku ikawa vinginevyo.

....gaddafi alianza kwa "kurarua" mamlaka iliyokuepo madarakani wakati huo...na akiendelea kurarua kula aina ya upinzani dhidi yake ktk style ya usiri ambao ulimwengu haukuujua...ahmednejad ameingia madarakani "kidemokrasia" na anaondoka baada ya kumaliza muhula wake wa pili...chambilecho wazungu wa "wingereza"..."the golden fish, has no hidding place"
 
Ikulu MoU ni nyingi mno na zimesainiwa na watu wengi. Chaajabu ile MoU ya Ujerman ya kusidia maendeleo ya jamii chini ya KKKT ndo pekee inatajwa.Usione visima vinavyochimbwa na Mashirika ya dni ya kiislam yanakua yamekubalili kwa kusaini Memmorandum of understanding.Pale ikulu sio kweli kwamba kuna MoU moja tu, zipo nyingi mno .
.....[/QUOTE]

umeongea kweli juu ya mou na mengine mengi...salute to mwl jk nyerere...!! nakumbuka "kweli" moja aliyoitoa kwa wabunge wa bunge la jamhuri "miaka hiyo"...aliwaambia..."nachoona sasa ni chuki dhidi ya uislamu na uzanzibar"...hoja kuu haikuwa ikimlinganisha ahmednejad na nyerere...labda nitakuwa nakukosea, lkn naona chuki fulani (hususan dhidi ya uiran) ktk weye....peace and love...!
 
Itakua ninamkosea mwenyezi Mungu na wairani kwa ujumla wake kama nitakua naichujia Iran kama nchi. Iran ni taifa lenye watu wengi watoto na wakubwa,wema na wabaya! Si vema kuichukia nchi!
Ninachojaribu kusema ni kwamba tuwe makini na taarifa za viongozi wanaokua madarakani! Kuna unafiki na usiri mkubwa ! Anaweza akajifanya ni maskini wa kutupwa at the end unasikia kwamba ana vijisent huko nje. Zile ni finction tu! Haiingii akilini kwamba rais wa nchi analala sakafuni tena hata suti hajavua,basi amechanganyikiwa.Kwa asili tu waarabu hawapendi kuishi maisha ya dhiki ! Au yule rais ni kama John Okelo kule Znji alienda kuwakomboa tu! Zina ubaya na Irani ,ni nchi ninayoikubali hasa kwenye maendeleo ya elimu na teknolojia! Kwao elimu kwanza. Huku kwetu kilimo kwanza kwa maskini .Vigogo watoto wao wa miaka minne kingereza kwanza . Yale maisha ya kusadikika ya Rais wa Iran hata Padri Slaa hawezi kuyaishi kwa sababu anapenda starehe na vingamuzi,mvinyo kwa sana na totoz pembeni! Yule Padri angekua na mijiela kama Ndesamburo wangemkoma dada zetu na wake za watu.
 
Back
Top Bottom