Recent content by Comrade 255

  1. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Hatimaye nimeona mstari muhimu sana.... Labda huyu anajua kila kitu kilichotokea
  2. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Barakoa si chochote.... Virusi vinaingilia machoni pia!!
  3. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

    Ramaphosa kafika saa ngapi?
  4. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania In Samia we trust, new era

    Error means ""kosa""
  5. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Hizi platform zinatoa tetesi kuwa Rais amelazwa huko Kenya kutibiwa Corona.. Na uvumi umeachwa uenee kote duniani wakati Rais aliyechaguliwa na wananchi akiwa sehemu isiyojulikana. Hatujui kama yupo Ikulu Dar, Dodoma, Chato au sehemu nyingine. Na labda hatujui kama yupo huko Kenya kunakosemwa...
  6. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Je, tunaweza kupata virusi vya corona kupitia macho?

    Barakoa ni kazi bure tu.
  7. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Landmarks za Tanzania na Majina ya Viongozi

    Umeuliza swali halafu unalijibu mwenyewe
  8. Comrade 255

    JamiiForums Tanzania Tuzo za AFRIMMA ni utopolo mkubwa siku hizi

    Ni wivu tu(In Gwajima's Voice)
Back
Top Bottom