1. Hilo deni ni mikopo ya ndani au mikopo ya nje?
2. Uchumi wa Nchi na wa mtu mmoja mmoja ukoje? GDP
3. Je hizo nchi zenye mikopo mikubwa Export na Import zao zikoje? Wanategemea import zaidi ya Export?
Maoni yangu
1. Vision pana ndio inaleta maendeleo ya kweli
2. Rule of Law
3. Educated society
Emergency zipo kuna Njia kama Dar - Arusha dereva ni mmoja siku zote
Madereva pia wanashauriwa kucheki afya
Blood Pressure
Diabetes na
Macho kila baada ya Miaka Miwili kuhakikisha wako vizuri wakati wote.
Mwanzo ni mgumu lakini kila jambo kuna mahali hua linaanzia
Ni Sawa kua wawili ila kwa hapa Driver wa Pili hana “seat ya kukaa” hupokezana na konda na hii humpa uchovu, ikifika muda wake wa kuendesha gari anakua amechoka zaidi ya dereva mwenyewe
Baada ya kusafiri mara kwa mara kwa safari ndefu ambazo zinahitaji “Two Drivers” huu ni ushauri wangu kwa LATRA kwa njia za
Dar - Mwanza
Dar - Bukoba
Dar - Tunduma
Dar - Kigoma
Dar - Mpanda
Na Route zingine zinazozidi 750km
Kanuni za Latra zinataka mmiliki wa Bus awe na dereva wawili kwa njia...
Mkuu ukiwa bado unaishi jaribu kutoka nje ya Tanzania na kwenda nchi zingine, mabara mengine
Kuna jamii za watu wanakula
Scorpion 🦂
Spider 🕷️
Exotic animals huko Asia na kawaida sana kwao
Tembelea YouTube ya mtu anaitwa “Best ever review show” utastaajibu aina ya mimea na wanyama wanaoliwa...
Unapofanya wiring weka
1.5mm Taa na Feni
2.5mm Socket TV, Vingamuzi
4mm AC, Pasi Oven na vitu venye Watts 1000 na zaidi
6mm AC BTU 30000, Oven watts 3000
Pia hakikisha kwenye Main Switch MCB zimewekwa wire kutokana na “load” Ampire inayosupply
Kwasada sokoni waya ziko nyingi zenye material ya...
Gentlemen hii ni “proof beyond reasonable doubt” kwamba PGO haifatwi na Polisi huongozwa kutokana na Hisia za wanasiasa
Hivo naweza kusema pasipo na shaka Polisi anaweza kuagizwa chochote na Mwanasiasa na kufuata kwasababu utaratibu wa “Rule of Law” haupo kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.