Recent content by CompilerZeCoder

  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo kwa Miaka 5-25 Ijayo

    1. Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili na urithi wa kitamaduni, ina nafasi kubwa ya kujiimarisha kiuchumi na kijamii katika miaka ijayo. Andiko hili linatoa mawazo bunifu juu ya jinsi Tanzania inavyoweza kufikia maendeleo endelevu kwa kuzingatia vipaumbele vya kiuchumi, elimu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

    So zote n bei sawa si ndio??
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ueneaji wa magonjwa ya kuambukiza

    Nakiri kukosea hapo, turud kwenye mada Mchango wako n upi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ueneaji wa magonjwa ya kuambukiza

    Hello Jf Doctor, Kuna jambo linanipa utata wa majibu kila napolifikiria. Kwanza kabisa pongezi kubwa ziwafikie wahusika wakuu na waanzilishi wa Project ya Mwendokasi Dar (UDART) Ila tukiangalia uwiano wa mabasi na watu n wazi kwamba mambo hayajakaa sawa maana watu hujazana kiasi kwamba hewa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    M ndo nishatia sahihi ivooo, nna mikataba isiyopungua saba had sasa Chezea mgeni wewe
  6. C

    JamiiForums Tanzania R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

    Hahahahah hatareee
  7. C

    JamiiForums Tanzania Vazi la suti linahitajika

    Habari za mda huu wana JF, Yeyote mwenye kufanya biashara ya nguo hususan suti please anipe muongozo km naweza kupata suti yenye :- 1 Single button 2 Blue Coat 3 Black trouser
  8. C

    JamiiForums Tanzania Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Kiukweli hili suala si dogo km raia tunavyoliona Tunaamin sheria itajitahid kufikiria mambo km hayo na kutoa hukum kwa haki maana wengi wetu hatukuqahi kujiuliza maswali km hayo kabla ya kuhukum
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

    Daahh umakini mkubwa unahtajika maana yawezekana hukuwaelewa fresh, kila la kheri ndgu na umakini pia wasijekufunua buti
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Very sure mkuu, uko very intelligent na mwenye kujali, tuelimishe kuhusu hayo km una ufaham nayo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

    Hehehehehe kweli madungaembe Yanataka penye mkwanja na ukiwepo utawekewa beki tatu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Tushamsamehe ila sheria iwepo pia dhidi yake,msamaha wa maneno hatutaki sisi Km ndivyo mambo yanavyokwenda wengine watajifunza kwa nan au kwa lipi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Niko dilema nishaurini

    Duuhhh eehhh bwana eehh Sasa hyo ndo mitihan ya maisha kjana achilia mbali ile ya kwenye karatasi darasan Cha msingi n kusubiri mtoto akue utamlea yeye km yeye na wala sio kulea team usiyoifaham ndgu yangu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    Daahh ukahaba upo na mwendo saana kwa Taifa lakn sababu bado haijajulikana HUENDA :- 1 Ugumu wa maisha 2 Raia wamekua wavivu ktk utaftaji 3 Michongo na deals zao zimegoma 4 Ulemavu wa akili(block minded) 5 Kutegemea vya wazaz na sasa havipo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    GUYS, DAWA NILIIPATA HOSPITAL ILA PIA NTAKUPA MAELEKEZO MAZURI IKIWEZEKANA HATA PICHA ILI UWE NA WEPESI WA KUIELEWA JE, WEWE N MHITAJI? KARIBU INBOX
Back
Top Bottom