Recent content by Commoner

  1. C

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    ..I look too good, to be alone..
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Watoto wana changamoto gani? Kama unahiataji mtoto wa nje zaa tu mkuu..lakin kuzaa kwa sabab uliyoieleza ni sawa na kuwa reject watoto isitoshe malezi pia yana mchango katika hilo unaloona tatizo. Sasa mwenye watoto wenye changamoto ya kimaumbile/disabled/mtindio watafanyaje????
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ukiona picha za Instagram za girlfriend/boyfriend wako akioa au kuolewa—utafanyaje?

    Kama mlikua na situation ya kutoeleweka kama hii uloandika hapa..hizo picha zitakusaidia kufunga ukurasa rasmi na kumove on kiroho safi. Nb: Kuumia hakukwepeki..utaumia sana sana kama ulimpenda kwa dhati lakn at least hutaidanganya nafsi kwamba bado una nafasi kwake.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania nani katuroga?

    It begins with YOU!!
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini, sijui nifanye nini! Ushauri

    Vipi ukienda KWAKE hali ni hiyo hiyo?
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Na hali hiyo ikiisha mtoa mada atarudi kuuliza "ivi hii imekaaje naenda kazin kuanzia asubuh hadi siku inaisha wife hapigi simu hata sms kunijulia hali?"
  7. C

    JamiiForums Tanzania Karibu VETA

    Hee..kumbe issue ya uniform ni kweli🤔
  8. C

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ni kama wanawake wamepotezea kuunganisha jina lake na la ukoo wa mme wake

    Katika enzi hizi za mavyeti kibao ya elimu ni kipengele kidogo..itabid amendment ifanyike kote kwa viapo. Back then kina mama wengi walikua wamama wa nyumbani nadhani...(elimu kwa mtoto wa kike haikua kipaumbele).
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

    M A L A Y A🤔
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tips ndogondogo za usalama uwapo nyumbani kwako

    Kama una breeds hatari za mbwa UA tu.. Kama unamiliki mguu wa kuku take a good care of it...isiachwe hovyo hadi kufikiwa na watoto
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tips ndogondogo za usalama uwapo nyumbani kwako

    Kama una swimming pool hakikisha ina uzio kuepusha majanga kwa watoto na yeyote mwingine..
  12. C

    JamiiForums Tanzania TbT..Isidingo

    Them days..
  13. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake

    Mm ndo nmeona leo kwakweli..hizi picha si za insta hizi hii ni facebook.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Darasa la tatu

    French grade 3 plz..
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

    Huu mji sio wa kuonea mtu huruma..ni kujifunza tu roho mbaya hata kama hukuwahi kua nayo.
Back
Top Bottom