Recent content by commissioner

  1. C

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    Kwani huyu Mwea ni nani? Do you trust him guys? Unajua story yake ni ya mtu anayehutubia kioo!
  2. C

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    I am tempted to agree with you my friedn, save the highlighted text.
  3. C

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Ha ha ha ha, sooooo misguided! Kumbe kuelewa pia ni kuchagua.
  4. C

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Betty, you easily despare, labda hata hujiamini wewe mwenyewe! Maisha lazima yasonge mbele, lazima kwenda nayo, may be ni vyema kuyaongoza.
  5. C

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Unajua uungwana unatuzidi sana, siku moja tutajikuta na Police nao wanagoma. Labda kweli tufanye jaribio, Police wagome masaa 24 tu tuone kitakachotokea. Jamani ee, sheria ni sheria tu. Inafahamika kwamba Dr. haruhusiwi kugoma, full stop. Wamegoma - wamejifukuza, BASI. Kwa heri. Unaona...
  6. C

    Udhaifu Wa JK: Tafsiri Yangu

    Nimechangia kwenye hizo colored and underlined text
  7. C

    Udhaifu Wa JK: Tafsiri Yangu

    Dar City Ni vigumu kutokubaliana nawe walau kwa asilimia chache juu ya hamsini. Kwa mapungufu ya tafakari ya Mjengwa, kwa nini isiwe ni uwezo wake unaotakiwa kuongezeka katika kuzamia hoja, na madhara ya hoja yenyewe mthili ya hiyo ya Mh. Mnyika? Hilo naona ndiyo tatizo letu kubwa sana tulio...
  8. C

    Udhaifu Wa JK: Tafsiri Yangu

    Kuna hoja mezani juu ya udhaifu wa JK, imetokea Bungeni. Yumkini, kama mwanadamu, JK ana mapungufu na udhaifu wake, nani asiye na mapungufu na udhaifu? Lakini, tukimzungumzia JK kama taasisi ya ' Urais', namwona Rais anayejipambanua na waliomtangulia. Ni kwa kujitahidi kufanya yale yalo nafuu...
  9. C

    Udhaifu Wa JK: Tafsiri Yangu

    Tatizo la kauli kama hiyo ni kwamba imetamkwa ndani ya BUNGE. Ujue alimwongelea Rais kama taasisi, akiwa ndani ya BUNGE. Maneno yale hayawezi yakawa mepesi namna hiyo, ati uyatamke BUNGENI, na yaingie kwenye Hansard ya BUNGE, na wewe usitakiwe kuyafuta. Nje ya BUNGE, ruksa. Hatahivyo ndiyo...
  10. C

    Ngeleja atajwa katika ‘dili’

    Duduwasha, hiyo avatar yako ni ya unyanyasaji wa watoto
  11. C

    Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

    Mbona una andika bila 'proper punctuations' ndugu yangu? Hiki ni kiashiria kwamba wewe ni mzembe sana kwani, kulingana na ujumbe uliotoa, ni dhahiri una elimu na maandalizi ya kutosha!
  12. C

    Wabunge 3 (CCM) waisaliti Serikali

    Wanashangaza sana kutojua kwamba wao wametokana na ccm na Bajeti ndiyo determining instrument unayoitafuta kupitia kura. Ebo, kwani basi unatekelezaje ahadi ulizotamka kwenye ILANI yako? Kwani lazima iandikwe kwa urahisi wa uelewa wako tu? Nadhani kutafuta umaarufu kumewazidi. Mwisho wao...
  13. C

    John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Laiti kama ungejua kuwa ule ni ustahimilivu, basi ndiyo ungekiri uwezo wa JK kama kiongozi. Watu wa aina ile unawategemea, LAKINI SIYO BUNGENI. tatizo hapa ni kwamba HANSARD za BUNGE haziwezi kuweka hayo katika kumbu kumbu, tena out of context. Mjadala unaoendelea ni Bajeti, siyo uwezo wa Rais...
  14. C

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    SokoroDar, nakubaliana kabisa nawe. Ungeweza pia kutoa mfano wa Obama na Mrs. Clinton - sasa wanashirikiana na wamekusanya wapenzi wao wote kwa pamoja. See the strength with which they are going to whip the G.O.P....
  15. C

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Bigbro, kwani wewe ni wa nchi gani? Kama hizo ni hasira tu, basi zitakupunguzia umri.
Back
Top Bottom