Recent content by commando general

  1. C

    Wasanii waliotamba, unamkumbuka nani?

    Ngwea!umemsahau mkuu!
  2. C

    Nini ukweli wa app ya "credit fund'' association"?

    Kopa milioni 10,upate bajaj moja bure!akili za kuambiwa changanya na za kwako
  3. C

    Tulioishi au kufika DR Congo , Goma, Bukavu, Lubumbashi, nk tukutane hapa

    Acha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchana
  4. C

    Nawezaje kuongeza urefu wa kimo?

    Mkuu msaidie sio kutuvunja mbavu
  5. C

    Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Hivi MTU akifariki anajijua kama amefariki?je nafsi yake huendelea kuona yatendekayo duniani?wafu waweza kujitokeza angalau kuwasiliana nasi?msinishangae kuna mambo yalinitokea yananitatiza
  6. C

    Jana nimehudhuria Bachelor party ya mtu, sijaamini nilichokiona

    Umenikumbusha changanyikeni......kule jeshini........
  7. C

    Watu wa Chalinze kwa machungwa mliyoniuzia Mungu anawaona

    Mabano ni jibu langu sio lako , Lako hukuweka mabano
  8. C

    Watu wa Chalinze kwa machungwa mliyoniuzia Mungu anawaona

    Sasa mbona umemuuliza mtoa Uzi umemwambia MBUNGE wao? Namimi ndio nimekuuliza hivyo
  9. C

    Watu wa Chalinze kwa machungwa mliyoniuzia Mungu anawaona

    Kwahiyo ulirudi Unguja kumtafta(MBUNGE) mjumbe wa balaza la wawakilishi na kumwambia kero yako?
  10. C

    Nini kitatokea baada ya kesho Kenya:Odinga asisitiza kuapishwa kuko pale pale

    Mbona mnaharaka sana ???tusubiri kesho si mbali!
  11. C

    Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

    Mi mwenyewe nilikula tu ningefanyeje na nauli ishaliwa
  12. C

    Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

    Mimi alikuja lakini mmmh alikuwa bonge la mama
  13. C

    Wafugaji kuku mtabadilika lini?

    Mimi nauza tshs 10000,na wananunua watu wengi sana.sema kila MTU ana mtandao wake kibiashara
Back
Top Bottom