Nini kitatokea baada ya kesho Kenya:Odinga asisitiza kuapishwa kuko pale pale

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Katika jicho pevu naona historia yataka kubadilia katika historia ya siasa ukanda wa Africa mashariki,baada ya kiongozi na NASA mh Raila Amol Odinga kusisitiza kua ataapishwa kama raisi wa Taifa LA Kenya ukiisoma katiba ya Kenya haina kipengele hicho moja ya masharti lazima awe ameshinda kwa zaidi ya 25% katika kaunti zote 24 na awe ameshiriki uchaguzi sasa maswali yanatatiza kichwa na huenda kukawa na tatizo Mungu awaepushe.
Kisheria ni uhaini ila katika sheria LA Kenya kosa hilo lishaondolewa mpaka mahakama ya umoja wa mataifa hivyo kisheria hakuna kosa.
Kingine ni kua kisiasa itamjenga tena mh Odinga au kumbomoa tayari mh Uhuru ashatangaza baraza lake LA mawaziri nini kina kwenda kutokea Kenya na nini hatma yake.
 
Vyombo vya habari vinasema atajiapisha kuwa rais wa Kenya. Sasa tusubiri baada ya kujiapisha anaenda wapi na body guard wake atatoka jeshi gani na atakuwa na cheo gani.
 
Katika jicho pevu naona historia yataka kubadilia katika historia ya siasa ukanda wa Africa mashariki,baada ya kiongozi na NASA mh Raila Amol Odinga kusisitiza kua ataapishwa kama raisi wa Taifa LA Kenya ukiisoma katiba ya Kenya haina kipengele hicho moja ya masharti lazima awe ameshinda kwa zaidi ya 25% katika kaunti zote 24 na awe ameshiriki uchaguzi sasa maswali yanatatiza kichwa na huenda kukawa na tatizo Mungu awaepushe.
Kisheria ni uhaini ila katika sheria LA Kenya kosa hilo lishaondolewa mpaka mahakama ya umoja wa mataifa hivyo kisheria hakuna kosa.
Kingine ni kua kisiasa itamjenga tena mh Odinga au kumbomoa tayari mh Uhuru ashatangaza baraza lake LA mawaziri nini kina kwenda kutokea Kenya na nini hatma yake.

Jicho pevu ndo nini?
 
No one in NASA has the guts to tell the 'king' that he is naked. The morons are all clapping very hard and telling Raila how nice he looks in his invisible kaunda suit! This is without doubt the most lowest point in Raila Amollo Odinga's political career.
 
Back
Top Bottom