Kuna zoez gym inaitwa pull overMazoezi ya aina gani mkuu?
🙁😛😛😛😛😛😛😛😛😛 Vp ameshindwa kufikikia viwango vya yule mtoto wa mzee nanii nimemsahauMasharti ya mademu yatawaua hayo tafuta anaetaka mtu mfupi tuu kama wewe...
Unasahau kuna Genetic issue chiefBahati mbaya hujaeleza umri wako.Kuongeza urefu hata kwa centimetre moja tu inawezekana pale ujazo wa mifupa yako (bone density) inapoongezeka. Kitu cha kuongeza ujazo(density) ni madini ya calcium. Kula vyakula vyenye madini ya calcium kwa wingi kv dagaa, maziwa,nk.

Mkuu msaidie sio kutuvunja mbavuHahaaaha utufikie urefu ili ugundue nini!!
Nyie watu wafupi hamjiamini mno!!!
Simpo hii,Wakuu habari zenu,
Natumai mko powa sana na harakati za maisha ya hapa na pale kukimbizana huku na kule pia kinyonge sana na kwa masikitiko tunaendelea kulia juu ya msiba wa kijana mwenzetu.
Ok niende moja kwa moja kwenye mada, kuongeza height(urefu) binadamu wa kawaida mwanaume una urefu 156cm ambayo ni sawa na 5foot hiyo ni wastani akiwa chini ya hapo ni mfupi mwanamke 150cm sawa na 4.9foot.
Binafsi nina 154cm nawezaje ongeza height yangu nifike average?
Natanguliza shukrani.
Anzisha uzi wa kwako acha kutuchanganya.Jamani mm nina matege(ya miguu kuingia ndani) yanakikosesha amani kwa kweli, japo hayanikoseshi chochote ila naombeni ushauri angalau jinsi gani niyapunguze maana hua najishtukia sana! Natanguliza shukrani.
Jamani mm nina matege(ya miguu kuingia ndani) yanakikosesha amani kwa kweli, japo hayanikoseshi chochote ila naombeni ushauri angalau jinsi gani niyapunguze maana hua najishtukia sana! Natanguliza shukrani.
Ndio , ila kwa urefu uliotaja apo ni mzuri wala co mfupi ila psychologically hujikubali dat y unajiona mfupi,Basi mimi nimeramba garasa!
Kama una miaka chini ya 20 kunywa maziwa fresh kila siku at least kikombe kimoja.Wakuu habari zenu,
Natumai mko powa sana na harakati za maisha ya hapa na pale kukimbizana huku na kule pia kinyonge sana na kwa masikitiko tunaendelea kulia juu ya msiba wa kijana mwenzetu.
Ok niende moja kwa moja kwenye mada, kuongeza height(urefu) binadamu wa kawaida mwanaume una urefu 156cm ambayo ni sawa na 5foot hiyo ni wastani akiwa chini ya hapo ni mfupi mwanamke 150cm sawa na 4.9foot.
Binafsi nina 154cm nawezaje ongeza height yangu nifike average?
Natanguliza shukrani.
kumbe kuongeza urefu. Fanya hivi tafuta watu wawili, mmoja akufunge kamba ya miguuni na mwingine akufunge kamba shingoni then wavutiane, usiporefuka hapo ndio basi tena.
Mkuu kwani huo ulio nao hawaufurahii?Mi nimekuja mbio nilifikiri kuna dawa za kuongeza mkuyenge![]()
kumbe kuongeza urefu. Fanya hivi tafuta watu wawili, mmoja akufunge kamba ya miguuni na mwingine akufunge kamba shingoni then wavutiane, usiporefuka hapo ndio basi tena.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Weka bidii zako kwenye mazoezi, urefu utakuja naturally