Recent content by comiki com

  1. C

    JamiiForums Tanzania Neno la leo"enyi wazinzi........

    wewe neno hilo unalishika au unasema tu kwa maneno kumbe na wewe ni mwanachama.
  2. C

    JamiiForums Tanzania List ya mawaziri wetu wanaoweza kuongea fluent english

    nyie mnajua au mnasema wengine tu. Hekima, uwaminifu na utendaji wa kazi ndilo la muhimu zaidi kuliko kuongea kimombo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Ambaye ajafanya haya awe wa kwanza wa kumrushia jiwe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    ambaye ajafanya haya awe wa kwanza kumrushiria jiwe.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa nini hujaoa mpaka sasa?

    Wewe unajibu. Wewe uyetuma mada hii umeoa? Kuoa sio lelemama.
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wema wote niliomfanyia huyu house girl, hii ndio shukurani yake aliyonilipa

    pole sana dada.Madume yanatamaa sana.
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wema wote niliomfanyia huyu house girl, hii ndio shukurani yake aliyonilipa

    pole sana.wanaume wanatamaa sana. msamehe mumeo tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hata mimi binafsi nilishuhudia mtu akiwa amepigwa risasi katika tukio la Bomu Arusha

    wana chadema wote tuungane na viongozi wetu ili tulete mageuzi katika nchi yetu ambayo mafisadi wanaendelea ukuitafuna keki yote ya taifa. sasa sisi walalahoi tunaendelea kuteseka tu. jamani haya mafisadi hawana hata huruma.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hata mimi binafsi nilishuhudia mtu akiwa amepigwa risasi katika tukio la Bomu Arusha

    mageuzi ni lazima. mabomu tutapigwa na damu ya makamanda waliokufa itasitawisha na kuzaa matunda ya ukombozi kwa vijana wapya. tusikate tamaa wanachadema tuwaunge mkono viongozi wetu ili tukombolewe.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tuweke wazi kuhusu hili kwani limekuwa sintofahamu juu ya mishahara mipya ya walimu

    C w T sisi waalimu tunataka jibu haraka sana tunataka kulianziasha mapema tumeshoka na mishahara midogo sana.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    poleni sana wanafunzi wote wa chuo cha mlimani. nchi yetu haina amani polisi wapo busy na chadema cha wanyonge. poleni sana Mungu awatie nguvu.
  12. C

  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Poleni sana wanafunzi wote wa mlimani. polisi wapo busy na chadema. Mungu awape nguvu kwa wakati huu mgumu.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Poleni sana wanafunzi wote wa mlimani, sasa nchi yetu haina amani tena.wapolisi wapo busy na chadema. poleni sana na Mungu awape nguvu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

    mwambie huyo ambaye ajui asemalo na hana jipya ni kada wa chama cha mafisadi
Back
Top Bottom