Recent content by COMFORT JAFFER

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Mmh! Umesema serikali hii imeshindwa kutekeleza BAADHI ya ahadi zake. Umetumia neno BAADHI maana yake ni kwamba zipo ahadi zingine tayari ZIMETEKELEZWA. Na yapo mengine hayakua kwenye ahadi lakini yametekelezwa. Sasa apo shida iko wapi Wakati muda bado upo. Acheni siasa za upotoshaji Sent...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Watu sasa wanahamia katika vyama makini. Sio kuendelea kubaki katika vyama vya ubabaishaji Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, kisheria Paul Makonda ana mamlaka ya kuzuia usambazaji wa films za kigeni?

    ivi wana jamvi filamu za njee nyingi zinatoka wapi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Watu wana chuki hali hii awa jamaa wanachuo kimoja tu tunaanza kuwavizia. Binafsi nimewafatilia sana ila kiukweli wapo vizuri. Matatizo madogo madogo hayakosi ila kwa kusimamia Taaluma wapo vizuri
  5. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Niliwai kuona machapisho mbalimbali ya wahadhiri wa MUM. Nakushauri ufanye utafiti kisha ndipo uje kutoa chuki zako hapa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mada changanuzi: Huyu mtu ni nani kwa wanaomfahamu na anafanya nini?

    Acha porojo, leta ukweli. Unataka kukimbia na huna break
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za utawala wa lucifer kwa dunia yetu ya leo

    ivi sasa ivi anatawala nani?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

    picha la kikorea, baadae kila mttu anajikuta ni mkosaji
  9. C

    JamiiForums Tanzania Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Natarajia kutoka Rasmi Jamii Forum, JF inanuka, watu hawachangii juu ya ukweli wa mambo jinsi ulivyo. Tofauti na kipindi cha Nyuma. Kumbukeni Mungu anawaona kwa kila NYEUSI kutaka kuibadilisha kuwa NYEUPE. Kutaka kubadilisha usiku kuwa mchana. Wanachangia kwa kufuata ushabiki. . Najifunza...
  10. C

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Mkuu soma vizuri jinsi ailivyoandika, alafu ndipo umtafute muongo. kama hujasoma kwa makini huwezi kuelewa alichoandika
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Anasitahili, maana mkuu mwenyewe anamkubali kwa anauoyafamya
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

    usije ukawa wewe ndo makonda
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha yenu mnaitaje hii

    ndumu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    Mungu yupo, ila si wote wanaingia nyumba za ibada. Dini yako ni mzuri kwako ila ni kero kwa mwingine. KAMA MNATAKA KUHUBIRI ITIFAKI IZINGATIWE, VIONGOZI WA DINI ZINGINE PIA WAALIKWE KUFANYA IVYO. IZO GARI NI ZA PUBLIC SIO ZA DHEHEBU FULANI LA DINI.
Back
Top Bottom