Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,624
Wakuu wa jukwaa hili bwana awe nanyi ,yesu ni mwema sana ndugu zangu na hakika aliyashinda mauti
Mimi swali langu ni moja kwenu nataka kujua kwanini shetani ana mupango wa kuitawala dunia hii na jeuri hiyo kaitoa wapi
na kuna hasara gani na faida gan tutayo pata sisi wanadamu endapo mupango wake wa kuitawala dunia utakapo kamilika
Maana naona anakuja kwa kasi sana nasikia ana mpango wa kusimika dini moja na ana wafuasi wanaoeneza propaganda za kwamba kuna mungu mmoja wakati si kweli
Wafuasi wake wanaenda mbali zaidi na kulazimisha yesu kristo ndo sijui nan yule wana muitaga wenyewe.
Je faida gan na hasara tutapata wapendwa naomba tuwe pamoja muweze kunifahamisha maana mimi niko empty juu ya hilo