Kwa lugha yenu mnaitaje hii

Kwa lugha yenu mnaitaje hii

08d258ff36cc92d505520cdfb2ed5f96.jpg

Sisi tunaita nyasore
Oche......
 
Mbona ni ya kijani sana?......Bila shaka haikukaushwa vizuri.

Mkuu;
Waijua vizuri au?? Hapo kitu ilikaushiwa kwenye kivuli kuubakiza ule u green wake ambao ndio ongezeko la ubora wa hiyo bidhaa adimu. Mwaka huu Hon Msukuma tunaomba awasilishe hoja binafsi kuwa ilimwe kiutaalam iuzwe ng'ambo kuingiza forex baada ya utalii kupungua
 
Nisiijue tena?.......Sidhani kama kuna uhusiano kati ya ukijani wake na ubora.........Kuna kitu unakikuta kikiwa na rangi ya kahawia lakini kimetulia balaa.

Hata hivyo zinatofautiana kutokana na aina ya udongo ilikolimwa.
 
Binafsi sijawahi kuvuta,ila comment nyingi humu zinaonyesha watu wengi,wasomi na wasio wasomi,maskini kwa matajiri wanavuta bangi.Ona wanavyoisifu.
 
Hata me navuta kupunguza maumivu si unajua tena kazi zetu ngumu
 
Back
Top Bottom