Miemko iyo ndio ishawafanya wakose kazi, labda kama wana ndugu anayeweza kuonga vizuri ndio wataingia kwenye ajira. Wakiingiaa mtaaani wakikutana na JKT wengine ambao walikaaa kusubiri mpaka wakabidi wachukue pikipiki ya mkataba na marejesho yameshindikana kulipika ndio watajua waliokuwa...
Duh? Kisasi ni Haki. Vita ya Sindano na Bunduki
Apo ni hatari sana. Wakati
Askari = Bunduki yenye Silaha
Daktari = Sindano yenye ugonjwa wa kila aina kansa, HIV, Hepatitis na magonjwa chungu nzima
Duh? Hiii vita ishakuwa ya Kisasi ni Haki. Maana sasa kama familia ya Mapolisi ikafika hospital ikachomwa sindano yenye maambukizi ya Kansa, Liver Hepatitis au HIV watatoboa kweli ndugu zetu maafande. Duh? Naona kama wamemkanyaga nyoka mkia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.