Recent content by Combative

  1. C

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Naambiwa huyu Harbinder Singh Sethi alikuwa atoroke akakamatwa pale airport JNIA , sasa sielewi kama yupo salama na biashara yake iweje alijipanga kutoroka na kukamtwa! Ngoja tusubirie mengi yanakuja!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

    INTERNATIONAL ADVISORY BOARD The International Advisory Board was established to provide advice to Barrick’s Board of Directors and management on geo-political and other strategic issues affecting the Company.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Nimaeandika nikiwa na ufahamu wangu tosha, viwanda vya ndani havikidhi mahitaji, ni serikali iangalie kuwa na viwanda zaidi vya sukari kwa kuwa hii ni bidhaa muhimu- lazima serikali isiwe na market failure ktk hili na hapo serikali huingilia kati kucorrect market failure.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Swala hili la "sugar shortage" limekuwa linatumika vibaya kama mtaji wa wafanya biashara walafi, kiasi miezi ambayo viwanda vyetu vya ndani husimama kuzalisha sukari husababisha kuwepo na uhaba wa sukari kwa miezi kadhaa, uhaba huu hutathiminiwa na wataalaam wa wizara ya Kilimo kwa pamoja na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Inatakiwa iitwe sukari ya viwandani - industrial sugar! na ina utaratibu wake tofauti kabisa na consumable sugar!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Simple, unaposema sukari haipo maana yake, hakuna mtu yeyote atakuwa na stock kiasi hicho , kama haipo iwe haipo na hakuna yeyote mwenye stock.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni: Mradi Bomba la Mafuta ghafi, utapita Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga

    Ndoto ya Rais Magufuli kutaka bomba la mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania imetimia ambapo leo Museveni katangaza rasmi bomba linapita Tanzania mpaka kwenye bandari ya Tanga.
  8. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Katika hali inayoonyesha kuwa na majibizano kati ya Rais Magufuli na Kituo Cha Haki za Binadamu LHRC kinachoongozwa na Dr. Hellen Kijo Bisimba, leo Rais Magufuli hadharani kasema wanaosema amekiuka haki za binadamu kumsimamisha ndugu Kabwe hadharani walitakiwa pia waseme vivyo hivyo kipindi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Ally Hapi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni

    Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kinondoni ni Ally Hapi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Ngwale ni nani katika serikali ya Magufuli

    Unaonekana una lako jambo si haba, umechokoza tu lakini unaintention fulani, ngoja tuone.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Gelasius Gaspar Byakanwa, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro. Taarifa iliyotolewa leo Ikulu Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi huo umeanzia tarehe 08...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Marupuru hata ujumlishe namna gani haiwezi kuzidi milioni saba kwa mwezi, na hizo fenicha Waziri au katibu Mkuu hupewa mkupuo wa milioni 18 kwa kipindi chote hakuna kubadilisha, sasa sijui unaongelea fenicha zipi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Ndugu kwa taarifa yako serikalini hakuna waziri wala Katibu Mkuu mshahara wake unavuka milioni saba hakuna!! Nipo Serikalini najua nachokiongea !
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Ndugu kwa taarifa yako serikalini hakuna waziri wala Katibu Mkuu mshahara wake unavuka milioni saba hakuna!! Nipo Serikalini najua nachokiongea !
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa 26 aacha 13 wa zamani na kuingiza wapya 13. Nimezipata kutoka chanzo cha uhakika . =========================
Back
Top Bottom