Rais Magufuli amteua Ally Hapi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni

Combative

Member
Apr 19, 2014
58
103
Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kinondoni ni Ally Hapi
image6.jpeg
 
View attachment 340072 Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kinondoni ni Ally Hapi
Aisee hatimaye jamaa katusua.

Kahangaika sana aisee, nakumbuka miaka hiyo alikuwa HP pale Bwiru Boys ishu ikabuma akapigwa chini, baadaye kagombea UDSM U-Presidenta kapigwa chini, baadaye kagombea UVCCM akapigwa chini, baadaye akaingia timu Membe akapigwa chini, baadaye timu Pinda akapigwa chini.

Leo kaukwaa ukuu wa wilaya.

Safi sana, apige kazi aache makundi maana yanamponzaga sana kwenye siasa zake.

Muangu amtangulie sana, ni mtu mwenye msimamo mkali sana, akiachana na makundi atafika mbali sana, maana ana kipaji kizuri sana cha uongozi.
 
Hongera sana Salum Hapi. Nina imani utapiga kazi....Allah akutangulie.

Vijana tunakukumbuka kwa namna ulivyo mpiganaji...
 
12295440_982635875108960_1469015774880427927_n.jpg

Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kinondoni akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson Dodoma Hotel
 
Mwenyezi Mungu yu Pamoja na wenye Subira. Hongera sana Mwana kindaki ndaki wa Chama cha Mapinduzi!
 
Back
Top Bottom