Recent content by color.bash

  1. color.bash

    JamiiForums Tanzania Je, Unaiamini Condom?

    Naiamini ndio maana naitumia, japo haina uhakika wa 100% ila inapunguza uwezekano wa maambukizi kwa kiasi kikubwa sana. http://www.aidschicago.org/resources/legacy/condoms/ltoyw_fact.pdf
  2. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Asante Mkuu Kaveli Kwanza naomba nirekebishe kuwa mimi si daktari. Ninayoyaeleza yametokana na ufahamu wangu katika kuvisoma na kuvipitia vitu katika majarida na source mbalimbali juu ya masuala ya afya. Huku kwenye HIV/AIDS nilijikuta natafuta elimu na taarifa pana zaidi baada ya rafiki wangu...
  3. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Labda kwa kuongezea alichesema Daktari wetu hapo juu.... - immunodeficiency ni upungufu/ukosefu wa kinga ya mwili (bila kujali nini kimesababisha) - immunosuppression ni hali ya kupunguza/kuondoa/kuharibu kinga ya mwili ambayo aidha inaweza kuwa kwa kukusudia (katika hali fulani fulani...
  4. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mjuni sina uhakika wa ufahamu wako kwenye kitu kinachoitwa 'probabilities'. Hesabu zinazoainishwa humo ni kusema kwamba uwezekano wa mtu kupata maambukizi ya HIV kwa namna tofauti ya ngono na 'probabilities' zake. Ukisoma kwa makini kwenye hiyo yaarifa utagundua kuwa haimaanishi kwamba...
  5. color.bash

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    Tangu lini bikra ikawa sifa ya mke bora? Pelekea wapuuzi hiyo bikra yako
  6. color.bash

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na mume

    Nenda hospitali, usipoteze muda JF usije ukatufia humu
  7. color.bash

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    Naishi Kigamboni.... na asubuhi hii hakukuwa na dalili zozote za unayoyasema humu ambayo ni uzushi mtupu. Asubuhi ya leo watu wameamka na wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Tafuta mazumbukuku wengine uwalishe uongo wa kipuuzi wa namna hii
  8. color.bash

    JamiiForums Tanzania Polepole afunguka: Lowassa aliomba msamaha kabla ya kukatwa!

    Tatizo uongo unapendwa na kusambaa haraka kuliko ukweli...
  9. color.bash

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na Dr Magufuli akaniomba kura

    So what?
  10. color.bash

    JamiiForums Tanzania Takwim zaonyesha CCM Kushinda tena Uchaguzi huu

    Time will tell....
  11. color.bash

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Yaani unadhani wote tulio humu ni mazuzu kama wewe? Wewe ni mmoja wa wale waliokuwa mabingwa wa kuhadithia movie za kihindi wakati hata neno moja la kihindi hujui
  12. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Wadau nimeufuatilia na kuusoma uzi huu kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Nimetambua kuwa nimebahatika kupata nafasi kama msomaji kujifunza mengi na kupanua ufahamu wangu juu ya somo la HIV/AIDS. Pamoja na yote niwapongeze Kaveli, Mzee wa Kigonzile, Eiyer, Pakamwam, Mkuyati og, Deception na wengineo...
  13. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mjuni kabla hujafika hatua ya kujidunga sindano ya damu ya mtu ambaye ni HIV+ ili kupima ama uwepo wa HIV ni halisi au ni dhana ya kutunga yafaa usome hii link hapo chini ambayo pamoja na mambo mengine mengi yaweza kukupa mwanga kwa nini mpaka sasa bado umeendelea kupata matokeo ya HIV-...
  14. color.bash

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mkuu ikiwa unadhani maambikizi ya HIV yanapatikana tu kwa kufanya mapenzi na machangudoa au watu waliotayari wanamaradhi ya AIDS basi unahitaji msaada mkubwa wa elimu juu ya hili tatizo la HIV/AIDS
Back
Top Bottom