Recent content by colony

  1. colony

    JamiiForums Tanzania Group la Kisukari

    Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni.. Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs...
  2. colony

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Hata account yangu nayo vilevile Hadi nikajua wakenya wamesha ni hack
  3. colony

    JamiiForums Tanzania Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

    Naskia sio tabia Tu jamaa ana matatizo ya kiafya hasa hasa kwenye mazingira ya baridi Sana na kwenye high attitude anashindwa kupumua vizuri na hata akipanda ndege Tu kidogo ni shida tupu.. Simba sio wajinga kumuacha mchezaji mzuri bila kuwa na tatizo
  4. colony

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

    Kugongewa kunatuumiza Sana Sisi masikini lakini mtu mwenye pesa zake na Miradi hawezi kuumia eti kisa kugongewa
  5. colony

    JamiiForums Tanzania Aviator ipo kutufilisi vijana

    Shusha nondo mkuu[emoji23][emoji23]
  6. colony

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha Treni SGR chaanza majaribio Kilomita 160 kwa Saa

    Nilikuona kinapita lakini nawahakikishieni Kwa mwendo ule nikikifukuzia Kwa baiskeli nakipita
  7. colony

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Wauliwe Tu Kwa ugaidi wao.. kill them all mother fanta
  8. colony

    JamiiForums Tanzania Dogo Young Lunya ni nani?

    Mzaramo mmoja hivi
  9. colony

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Sio Tu kupima Chanjo, chanjo, chanjo
  10. colony

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Ni kawaida kitaalamu semen huwa zina sifa ya Ku Liquify kutoka katika Ile Hali yake ya kuwa nzito Hadi kuwa ute mwepesi kabisa ili kuweza kusaidia zile spermatozoa ku swim kirahisi kulielekea yai. Kwa hiyo katika Ile Hali ya Ku Liquify zinaweza zikatoka nje ya uke na sio zote zinazotoka Ila...
  11. colony

    JamiiForums Tanzania Tegeta Nyuki kujengwa Soko la Kimataifa, hongera Askofu Dkt. Gwajima

    BARNHAM ndio wapi huko mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. colony

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

    Kifo sio adhabu kifo ni Haki na Kila mtu atakufa.. Ila kuna uzima baada ya mwili kufa hicho ndicho cha msingi
  13. colony

    JamiiForums Tanzania Miaka 33 jeshini nakubalika?

    Lea watoto mkuu
  14. colony

    JamiiForums Tanzania FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Madogo wamerudisha chenji
  15. colony

    JamiiForums Tanzania Naihurumia sana Simba kwa msimu mbaya itakaoupata

    Kikubwa Tu huu Uzi usifutwe tuna siku chache Tu kabla ya Ligi kuanza
Back
Top Bottom