Recent content by Cologero

  1. Cologero

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza modern router ya TTCL Tsh 45,000

    haitumii laini hiy!
  2. Cologero

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza modern router ya TTCL Tsh 45,000

    ADSL2/2+MODERN ROUTER 150 Mbps Wireless N SWITCH LAN 4 PORTS STATE OF THE ART SECURITY VIS FIREWELL AND WIRELESS ENCRYPTION. 0737167579
  3. Cologero

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

    Sijui nilimkosea nini mungu nikazaliwa Africa [emoji24][emoji24][emoji24] kiukwel wa Africa sisi hatupendani.
  4. Cologero

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Kama sio mweusi basi sio mzungu pia. Alafu unavyo sema angepata platform kubwa vile unamanisha nini?? Unataka kusema hakuna weusi wanao pata platform kubwa kumzidi kim na familia yke?
  5. Cologero

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Una kichwa kizito wewe haya ngoja niku eleweshe unielewe nilicho maanisha kama Baba mzungu Mama sio msungu au vice versa mtoto wao hawi considered kama mzungu/halfcast kama tulivyo zoea kuita huku wao hawana mamb ya halfcast ni mweusi tuuuu. Hata akiwa na features zakizungu kwa mfano Ross...
  6. Cologero

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Aisee his story za kwenye vijiwe vya kahawa inamaana ma doctor wa kizungu hawakuepo mpaka Banda ndo amtibu Queen???
  7. Cologero

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Upo sahihi ila kim nae ni Black pia.
  8. Cologero

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Kuna tafiki yangu mzungu aliniambia kama wazazi wote sio wazungu bas mtoto sio mzungu pia. Wao hawatambui mambo ya halfcast ni black au white tuuu. Ndo maana unaona celebrities wengi ambao mzazi mmoja ni black huwa wanakua considered as a black kwamfano Drake, huyo meghan mwenyewe Ross Barkley...
  9. Cologero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Asante kwa story nzuri kaka Imeni elimisha na kuniburudisha pia [emoji120][emoji120]
  10. Cologero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuipata iPhone 12 pro max imeibiwa

    Hongera sana mkuuu share na sisi jinsi ulivyo pambana mapka ukai pata simu yako
  11. Cologero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya computer ziweze kuwasiliana kwa kutumia switch au hata wireless

    Ardhi na mbingu programming na Networking
  12. Cologero

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Jamani hamieni Airtel hiyo menu ili kuipata ni *149*99*5# alafu unachagua 1 smartika. Thank me later.
  13. Cologero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

    Haiwezekani 100% keep slaying sis!!!
  14. Cologero

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    You know what TTCL kiss my ASS, nyumbani hapawezi kuwa pachungu hivi mabwege mtozeni nyinyi laiti mngejua tunavyo struggle kupata vocha zenu msinge tufanya tu struggle kutafuta kifurushi cha kujiunga. Namalizia Internet yangu na rudi zangu tigo napiga *147*00# najiunga kifurushi cha mwezi GB7...
  15. Cologero

    JamiiForums Tanzania Nimeingiza faida ya 1,092,600 baada ya siku 90 za biashara yangu

    Mkuu Hongera sna!! Ila ishapita miezi sita sasa tangu uanze hiyo biashara embu tupe updates biashara inaendaje faida imeongezeka kwa kiasi gani na changamoto gani unazipita?? Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom