Recent content by Collins_Sommy

  1. Collins_Sommy

    Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

    Habari za muda huu, Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
  2. Collins_Sommy

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    Biashara zina changamoto zake aisee Nadhan katika mipango aliyobugi ni kuamua kukopa gari na kuzipeleka tunduma akakutana na upinzani mkali kutoka kwa NF ikambidi awe na matumizi makubwa kuliko faida anayoingiza
  3. Collins_Sommy

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    Marcopolo za Abood zipo njia ipi mpk leo.?
  4. Collins_Sommy

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    Biashara ilikua nzuri sana akawa na Bus 7 ila 3 kati ya hizo zikachukuliwa na Scania ( zilikua ni za mkopo) na 4 zilizobaki 2 tu ndio zinatembea na 2 nyingine ni mbovu zimepaki mbeya takribani miezi 2+ sasa Ila Daily yupo road kwa bus mbili zinapishana Mbeya Dar Mbeya
  5. Collins_Sommy

    Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Tufanye naishi kwa dada... Then imekusaidia nini kujua.?.. punguza dharau na ku under rate watu usiwajua aisee.. hatupo kuonyeshana maisha yetu humu
  6. Collins_Sommy

    Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Tangu asubuhi naisikiliza kwa hisia sana huku inajirudia rudia na kugusa maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana🙂 Hapa Mwamba katiliza akili sana
  7. Collins_Sommy

    Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Tangu asubuhi naisikiliza kwa hisia sana huku inajirudia rudia na kugusa maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana🙂 Hapa Mwamba katiliza akili sana
  8. Collins_Sommy

    Adult Education ni nini?

    Nashukuru mkuu, acha dogo apambane
  9. Collins_Sommy

    Adult Education ni nini?

    Anafundisha level gani ya elimu.? Shule za msingi, sekondari ama vyuo vya kati.?
  10. Collins_Sommy

    Adult Education ni nini?

    Tusubiri huenda tukapata uelewa kiasi
  11. Collins_Sommy

    Adult Education ni nini?

    Aliomba Udsm na IAE Lakini UDSM kakosa nafasi, amepata IAE
  12. Collins_Sommy

    Adult Education ni nini?

    Wana JF naomba msaada wa mawazo yenu. Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha sita mwaka huu na kwa sasa yupo jeshini kwa mujibu wa sheria. Kabla hajaondoka alisisitiza sana nimsaidie kuomba chuo katika kozi ya BACHELOR DEGREE WITH EDUCATION IN ADULT EDUCATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT sikupata...
  13. Collins_Sommy

    LATRA: Stendi binafsi za mabasi ya mkoani siyo halali lakini zina vibali

    Hakuna haja ya kulazimisha magari yote yapakilie abiria ndani ya stand kuu Mfano Dodoma, abiria anaetoka Area C kwenda Babati, Arusha & moshi kuna ulazima gani yeye kwenda kupakilia 88 ilihali kuna kampuni zina ofisi pale
Back
Top Bottom