Wiki mbili ni chache sana ndugu kuwa na moyo wa uvumilivu unampomsaidia ndugu yako inavyoonekana ni ndugu yako wa karibu sana. Sisi wengine timesomeshwa na ndugu tu kutoka A level hadi degree wewe ungeweza . Ungefikiria hiyo internship akiwa anakaribia kutoka chuo aanze kuapply for internship...
Pia kama walipooana hawakupima hiv ndio hvo yawezekana walioana wakati tayari mme anao au kaupata wakiwa kwenye ndoa ila mke wake atakuwa hana receptor za hiv. Me sio doctor au nurse so huo ndio uelewa wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.