Recent content by Coletha

  1. C

    JamiiForums Tanzania Beatification of Lowassa starts here

    Jina la bwana na lihimidiwe! kumbe weng mnasikiliza maombez haya! Mbarikiwe sana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Beatification of Lowassa starts here

    Ngoja tuone T.B , ama Wise Man watamtabiriaje
  3. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu jamani....Haina Majasho!

    Tutaendelea kufanyiwa ujinga huu mpaka tuamke kama Misri bila majasho
  4. C

    JamiiForums Tanzania Beatification of Lowassa starts here

    Mtumish ameanza kuombea watu na kuwatabiria
  5. C

    JamiiForums Tanzania Beatification of Lowassa starts here

    Jaman Wazir aliyejiuzuru Mzee Edward Lowassa kumbe ni kweli yuko kwa Phophet Joshua leo akiabudu , tena amepata seat ya mbele kabisa. Hapa ninapoandika naangalia ibada live emmanuel tv. Ntawajuza mtume akianza maombi kama atamtabiria .. Ntawajuza zaid.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    thanks Tangawiz, ntafanyia kazi hilo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Hapo kwenye kikombe hapana kwa kweli. Ngoja nijipange kizoezi zaidi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Na je kunywa maji ya moto yenye ndimu ni sahihi ndugu zangu? Nisije kutengeneza ugonjwa mwingine!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Jaman habari ya leo, natumain mko pouwa. Naomba msaada nifanye nin kupunguza tumbo/kitambi? Nashukuru kwa mawazo yenu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vikombe vya tiba vinavyozuka huku na kule vinakuja kushusha imani ya watu kwa Mungu wa kweli!

    Baambie baelewe papa, mutu ukiwa na Imani thabiti hautatetereka. Dawa ni moja tu kumrudia Mungu kumwamini na kutii amri zake 'kwa imani yote yanawezekana'. Mwenye sikio na asikie
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jaman imekaaje hii

    yeah! bibie ndo kubwa linalompandisha presha hilo akifkiria wenzie waliotangulia anaona na yeye safar imeiva ya kwenda kulea peke yake. Jaman
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jaman imekaaje hii

    hahahaha
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi kwa miaka 10 ya ndoa, naomba msaada

    yan hiyo si suluhu ni kujiongezea matatizo tu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jaman imekaaje hii

    Wana JF Natumai mko shwari, ni ivi jaman! Kuna dada hapa anahitaj msaada wa mawazo, ni ivi:- huyu mdada ameolewa 2yrs ago, toka aolewe wazaz wa mume wakawa wakiulizia mbona hapat mimba? yan wakawa wanawapa presha sana wana ndoa hawa, Mungu si coletha mdada akapata mimba na kujifungua this...
Back
Top Bottom