Jaman imekaaje hii

Coletha

Member
Jan 16, 2011
19
1
Wana JF Natumai mko shwari, ni ivi jaman! Kuna dada hapa anahitaj msaada wa mawazo, ni ivi:- huyu mdada ameolewa 2yrs ago, toka aolewe wazaz wa mume wakawa wakiulizia mbona hapat mimba? yan wakawa wanawapa presha sana wana ndoa hawa, Mungu si coletha mdada akapata mimba na kujifungua this february, Tatizo linakuja jamaa amekuwa mnyanyasaji tena wa wazi wazi mpaka japo haihusu inauma sana. Imagine wakipishana kidogo kama kawaida ya ndoa zingine jamaa anapaza saut na kumpaka mkewe vibaya, yan anafkia mpaka kutaja cost za hospt alikompeleka kujifungua . Sasa dada wa watu ameish kwa gubu mpaka sasa amezalisha high blood pressure mana amekuja gundua jamaa ana 2kids kila mmoja na mama yake na jamaa kawatelekeza ndo akavutwa yeye kwa ndoa ya serikalin, natoka ofsin hapa nakuta ametolewa hspt kisa pressure. Anataman kurud kwao akalee mwanae mana ni house wife ,mnamshaurije dada yetu huyu? Nawasilisha
 
"A calm sea never produces a competent sailor"
Nafikiri kwa sababu yeye yupo kwenye maisha pamoja na huyo mtu anatakiwa abidilike yeye ili kubadilika kwake kunaweza influence mabadiliko ya mumewe!!Ki ukweli ishu za ndoa ni complicated kiasi fulani na huwezi toa jibu la yes or no ila mara nyingi ushauri hutegemea na mind position ya mshauriwa!!Nafikiri they need to talk,and if they can't resolve now i don't see that marriage ahead of them!!
 
masikini jamani, ndio maana nilisema kuolewa no. mijitu mingine imeenda shule lakini ina bahave kama walevi wa gongo.
 
Atakuwa ana mwanamke mwingine ndio maana kawa hivo ni kawaida yao kuwa wakali wanapopata vya nje avumilie hayo ni mapito tu ya kwenye ndoa
 
Ndio ndoa mamii avumilie tu mume atakuwa kapata demu wa nje wakiwapataga wanakuwa kama mbogo. ndio mapito ya ndoa wala asikate tamaa aombe mwenyezi mungu amsimamie yataisha tu
 
masikini jamani, ndio maana nilisema kuolewa no. mijitu mingine imeenda shule lakini ina bahave kama walevi wa gongo.

I have been waiting for this chance, hata mimi nilishasema kuoa NO! Mungu si Mphamvu leo kaniletea wa kufanana naye. NiPM basi...
 
Ndio ndoa mamii avumilie tu mume atakuwa kapata demu wa nje wakiwapataga wanakuwa kama mbogo. ndio mapito ya ndoa wala asikate tamaa aombe mwenyezi mungu amsimamie yataisha tu
yeah!
bibie ndo kubwa linalompandisha presha hilo akifkiria wenzie waliotangulia anaona na yeye safar imeiva ya kwenda kulea peke yake. Jaman
 
Mpe pole huyo mdada kwa yaliyomkuta. Ni vema ukarudi kwa wazazi wako mapema na ujipange kwenda kwa BABU LOLIONDO UKAPATE KIKOMBE ili kutuliza hiyo pressure kabla babu hajasitisha shughuli zake milele.
 
Suruhisho la ndoa yao ni MUNGU,mdada aingie magotini kwa kumaanisha,hakuna lisilowezekana kwa MUNGU.huyo mume wake atakuwa na pepo au jini linalochukia watoto.awaone viongozi waadilifu wa dini kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom