Recent content by Colence

  1. C

    JamiiForums Tanzania Inteligensia chanzo cha utajiri

    Wakuu nawezaje kupata vitabu vya kujifunza kwa undani hizi mbinu za kiinteligesia?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mtafte yule bingwa aliyemgeuza mchepuko wa Mme wake ng'ombe
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)

    Ina maana mungu hana CCTV huku duniani mpka anasubiri za kuambiwa?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Inteligensia chanzo cha utajiri

    Salaaam wakuu, Katika kukakaa muda mrefu nikinufaika na nondo za mabingwa wa kuzitumia akili zao katika kuzifikirisha na kuleta mada ambazo zinasaidia kubadilisha mitazamo ya jamii, na Mimi nimeamua kuitumia fursa ile tuliyokuwa tunaisoma kwenye vitabu vya civics kwamba katiba yetu inaruhusu na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Kwenye suala LA beauty nakupinga coz ile rang yao kwa upande Wang huwa siioni kama inavutia na kwa research ndogo isiyo ya kisomi vjana weng wanavutiwa kuangalia porn za kiafrica/kibongo ukitangaza group LA porn za kibongo watajoin wengi ukilinganisha na za kizungu ,in short nikiona pisi ya...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Sasa wao field wanafanyia wap c ndo kwenye kudate ili akiolewa aende kufanyia kaz experience aliyonayo
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

    Technique ya kwanza umeshapewa kumkeep busy by anyway sio biashara tu yaan kuna ile unamkeep busy mpaka akirudi nyumbani hata ham hana kuhusu kupiga umbea kwenye kazi utakayomtaftia hakikisha kazi unayomtaftia aimpi muda wa kupga umbea eg kuna kazi unaweza ukawa unafanya inakuitaj kuwa active...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kugawanya hisa (shares) za kampuni

    Wakuu kwanza kabisa ningependa MTU mmoja anyeelewa HV vtu atuandalie makala coz nimekuwa nikitamani kufanya biashara hii ya kuuza hisa kwenye makampuni Ila cjajua pa kuanzia
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi vinara wa uchawi na ushirikina duniani

    Broo unaanza vzr kwenye kutaja ikifka kuweka nyama unakwama kwan haukifundishwa kuandika ESE?? Coz unataja vzr kwenye maelezo pointless
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ajiza za Community Health na Nursing(Diploma)

    Jamani nasikia imetoka ajira za community health na nursing (diploma) kama kuna mtu kapatata hiyo mambo atujuze zaidi ikibidi aweke link
  11. C

    JamiiForums Tanzania I AM HERE FOR LADIES

    Xwaf
  12. C

    JamiiForums Tanzania I AM HERE FOR LADIES

    What What About you?
  13. C

    JamiiForums Tanzania I AM HERE FOR LADIES

    Colence john
  14. C

    JamiiForums Tanzania I AM HERE FOR LADIES

    Colence john
  15. C

    JamiiForums Tanzania I AM HERE FOR LADIES

    Nimeshakàribia
Back
Top Bottom