Yani mteja amenunua bidhaa kwako yenye thamani zaidi ya 1M+ unashidnwa kumsafirishia kwenye usafiri salama na wenye hadhi sawa na mali alionunua? Hivi customer care Tz bado tatizo sana!
Wew mwambie bei ya Tv mfano ni Tsh 1,560,000 ukijua hiyo elfu 60 ni for delivery pakia kwenye IST mfikishie...
Sasa unakuta unagonga mlango wa mbele weee hamna response mtu kimya! Inabidi ukagonge na mlango wa nyuma labda utapata mwitikio.
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
Kwake hupajui?
Kwa hatua hiyo ya mahusiano utakuwa unapajua kwake!!
Ushajaribu kumfata kujua anashida gani?
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
Umehitimu mwaka huu kijana?
Ukiingia kitaani Achana na mambo ya GPA.
Nenda ajira portal jisajili anza kufanya applications.
Kila la Heri
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.