Recent content by Col FEN

  1. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya Bandarini/TRA, watu washindwa kukomboa mizigo yao!

    Acha kujidanganya Mjomba hakuna njia zisizo halali zilizo fungwa Bali sasa hivi TRA wanafanya kazi kwa kukomoa wafanya biashara na wanachofanya ni kuja na Bei elekezi ambazo hazina uhalisia. Hapa swali la kujiuliza ni kuwa Je wanamkomoa nani ?? Na wanafanya hivyo kwa maagizo ya nani ??
  2. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Hongera ya nini !? Kutukanwa tu ndiyo afunge mtu ?? Kajionea aibu kaamua kumuachia. Hongera sugu kwa kuonyesha ujasiri.
  3. Col FEN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Kwani uliolewa kuja kuosha vyombo, kufua au kupika ??? Fanya kazi yako vizuri na achana na kazi za Mdada wa kazi uone kama huyo mumeo atakuwa na mchepuko.
  4. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Matendo yako ndiyo yatakupeleka mbinguni
  5. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Kenya inaweza Kwanini Tanzania tuna suasua !!

    Unachokiona hapo. Sisi tumebakia na porojo
  6. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Kenya inaweza Kwanini Tanzania tuna suasua !!

    Tanzania tutafika lini huku ???
  7. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Hata mimi nasemaga Hiiiiiiiiiiiii !! Japokuwa na mimi uraia wangu (.....) hiiiiii
  8. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wakipanda Bombadier mpya jana huku wakitupungia mikono mlangoni walikuwa wanaelekea wapi?

    Naona wazungu Marubani walioleta hii ndege Lazima wamerudi kwao na hadithi ya kuhadithia jinsi "Nyani" wa Afrika walivyo shaanga Ndege karne hii. Aibu tupu jamani .....!
  9. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Diamond yupo ulimwengu mwengine. Huyu waziri anachezea kazi yake tu. Zambi ya Lowassa inamnyemelea kumaliza soon.
  10. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

    Ukiwa na Chuki na Woga, Lazima utakuwa mbishi kwa kila jambo.
  11. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

    Labda Mkuu alisha mtongoza akamkatalia ndiyo maana ameamua kumfanyizia.......si unajuwa viongozi wa ccm wanavyopenda chini ...
  12. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

    Unamlipa shilling ngapi ?? Mpaka uweze kusema ni ujinga !?
  13. Col FEN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi walikuwa wapi uwanja wa Taifa mpaka mashabiki wanaingia uwanjani na kung'oa nyasi bandia?

    Hawa ni Simba !
  14. Col FEN

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Mjinga anatakiwa kudharauliwa siyo kupewa hoja
  15. Col FEN

    JamiiForums Tanzania UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Kinacho tukwamisha Afrika ni Ujinga , Ubinafsi na tutabakia kuchonga Domo sana maendeleo zero
Back
Top Bottom