Kenya inaweza Kwanini Tanzania tuna suasua !!

Col FEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
327
Reaction score
460
Tanzania tutafika lini huku ???
IMG-20180407-WA0063.jpg
IMG-20180407-WA0059.jpg
IMG-20180407-WA0057.jpg
IMG-20180407-WA0064.jpg
 
Hebu tuacheni jamani,tuna viwanda 3306 sasa,nadhani hawatufikii naamn siku mbili hizi vitakua vishaongezeka maana hapa kwangu nishauza blenda 3 hv hao wanunuzi wote naamn wameenda kuunga juhudi
 
Tujifunze biashara za kimataifa, kuheshimu sheria na kuweka siasa mbali na biashara.
 
Kati ya vyote hivyo kuna hata assembly plant moja ambayo imejengwa au ni plans tu? Hata hao Isuzu wamesema ni 'operations'which haimaanishi uzalishaji bali uuzaji. Sasa kama ni plans tu hata bongo zipo kibao!
 
Then wanayauza wapi,,? Maana African zetu ni used hizo mupya gharama zake nani ataweza?
 
Kati ya vyote hivyo kuna hata assembly plant moja ambayo imejengwa au ni plans tu? Hata hao Isuzu wamesema ni 'operations'which haimaanishi uzalishaji bali uuzaji. Sasa kama ni plans tu hata bongo zipo kibao!
Kila kitu kinaanza na plani mzee..... Ukiona huna plan ujue haifanyi chochote
 
muwege makini na vyanzo vya taarifa.
unaenda hata kwenye vyanzo vya kampuni husiku kujiridhisha.
 
Kati ya vyote hivyo kuna hata assembly plant moja ambayo imejengwa au ni plans tu? Hata hao Isuzu wamesema ni 'operations'which haimaanishi uzalishaji bali uuzaji. Sasa kama ni plans tu hata bongo zipo kibao!
Tuseme hujasoma au
 
Vilikuwepo Tanzania miaka ya 70. Huwa vinakufa hivyo, kwa sababu ya soko.
Urafiki (FTM) Ubungo, KILITEX Gongola mboto, Sungura Tex, Musoma Tex, Tabora Spinning Mill, na vingine vingi vilikosa soko! hapana do re mi fa so la to do hapana, tumekalia politique.
 
Tunaongelea assembling plants kama Scania.
Acha kangara za asubuhi.
 
Back
Top Bottom