Recent content by Coin face

  1. Coin face

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamanii nataka nitembelee nyota zenu na mawazo yenu Crystal palace vs middlebrough Hullcity vs Burney Westbrom vs bounermouth Watford vs westham Sasoulo vs ac Milan Athletic vs Barcelona Schacke 04 vs hoffeinham Inter vs as roma ***msaada****
  2. Coin face

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Wew umenena haswa nenda kibanda umiza kunywa bia unayotaka ntalipa nakuja na faru adija
  3. Coin face

    Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

    Wewe ndo umedadavua viwanda vyetu n kujudge mtu huku anaingiza hela hana njaaa
  4. Coin face

    Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

    Ukiona nyimbo yako inapendwa sana na wabongo jiandae kufulia na kufilisika kimziki ,,,Huwaga tuna majibu mawili mbya au nzuri ukiulizia tuna vyuo vya mziki hakuna jibu hiii taaluma ya mbaya au nzuri inatoka wapi!!!! Tutajua tu team mond vs team kiba!!! Maana hawa ndo wametugawa kiasi cha...
  5. Coin face

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka bet vipi wameblock au mbona hawasomeki???????
  6. Coin face

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamanii msaada jackpot hiii Kilmanort vs Ross country Nancy vs Bordeaux Leganes vs Celts Vigo Millwall vs Watford Fulham vs hull CTY Udinese vs ac Milan Crotone vs empoli Espanyol vs sevilla ***msaada jamaniii
  7. Coin face

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Ninapogundua nipo Tanzania siwez xhituka hya mamb nmezoea
  8. Coin face

    Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

    Ikolo,ipande,kilasilo,mwaya wewe ntakutekenya moyo Kyela ni yetu ila ni uozo mtupu wa Dr.wenu mmmmh
  9. Coin face

    Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

    Njia panda ipinda hadi matema lamiii yenye kama kutumia mkorogo robo ni lami sehem kubwa ni vumbiii tyyuuuu ,,,toka boda hadiiii ziwani kwa mwamnyange uwiiiiiii ,,,Heshma ya kyela ni roads yenye vipara
  10. Coin face

    Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?

    Eti wengine wanasema mwa_kye_mbe yuko wapiii ????jimbo lenyewe la kyela limemshinda kweli atalimudu jiji la mbeya labda kwa unafiki
  11. Coin face

    Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

    Safariiii ndefu ya kichaaa mwisho hurudi na makopo,,,,age juxt a number
  12. Coin face

    Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

    Tunasubiri nyingine Leo hko ufaransa yupo categories kma 3 hivi lakini majudge ndio watakao amua ,,,tulizeniii mishono yenu wenzangu na mie wa madale
Back
Top Bottom