Recent content by cognition

  1. cognition

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms No election
  2. cognition

    Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

    Nyege tu hizo.
  3. cognition

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Alikuwa naye vitani miaka hio. Hapo unajibizana na mzee wako.
  4. cognition

    Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

    Miaka mingi Dada mkubwa michango yako ilituvutia wengi.
  5. cognition

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Home team imepewa ushindi wa goli hizo tayari.....wewe kuendelea kuipa ushindi, au suruhi(2-2)/(3-3) as loss (2-3)/(3-4) ikiwa home team magoli yake ni hayo uliyoyatolea mfano.
  6. cognition

    Msanii V2 yupo wapi na nyimbo yake ya Nasonga Mbele

    Amekuwa mtu wa familia Cc Nifah
  7. cognition

    Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

    Wewe mjini umekuja juzi?....mbona unavurunda kwenye huu uzi.
  8. cognition

    Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

    Yule zembwela na Maulid walienda Singapore na kuonesha Bandari ya Singapore inavyofanya kazi wiki mbili kabla ya hili saga nadhani nao wamo.
  9. cognition

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wajinga hao,wapo hewani ila wakeondoa mechi zote
  10. cognition

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii website ya betpawa ina matatizo gani?
  11. cognition

    Mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023 Wasafirishwa

    Hiyo gari ilikuwa na watu watatu, wawili ndio waliofariki. Mmoja alikuwa ofisi ya raisi kabla ya kwenda kwa VP. Kiufupi ni vijana wa ......
  12. cognition

    Donnie Yen hazeeki

    Hawa Hawa wamarekani plastic surgery sana(face lifting ) imehusika hapo.
Back
Top Bottom