Recent content by Cog

  1. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

    Kikeke na Ay sikuwahi kutegemea kuwa machawa ila ndo wanaongoza Kwak sasa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Kama wa kike mpeleke Dar islamic secondary school kama wa kiume Ilala Islamic hutajutia
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

    Mie nipo wilaya ya Newala huku umeme unaweza kukaa siku hadi tatu hujauona na hakuna taarifa yeyote. Maji hakuna wanategemea maji ya mvua kwenye visima kwakweli huu mkoa kama sio Tanzania kama huamini tembelea siku moja ujionee. Mkoa huu kuishi ni kazi sana serikali imeususa na hakuna wa kuitetea
  4. C

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Yaani inakatisha tamaa kwakweli mpaka unajiuliza hayo maendeleo yanayosemwa ni yapi
  5. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme wilaya ya Newala ni kero jinsi unavyokatika unapelekea shughuli nyingi kusimama, tunaomba mtusaidie
  6. C

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Na pia waziri mkuu wamempa mamlaka ya kuendesha taasisi zote zq kiserikali
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

    Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda. Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Mimi pia nilikuta charting kwenye simu ya mkewangu nilichofanya niliongea na jamaa akaniambia mkewangu alimwambia hajaolewa hivyo alisikitika sana na kuniomba msamaha na kilichonipa moyo ni kuwa ndo alikuwa anaanza kutongoza nimemuonya wife na nachunguza mienendo yake
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Shukrani
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Asante kwa kunitia moyo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Hapana biashara nimeanza nazo siku nyingi na zilishanipa mafanikio kama kujenga kuwa na gari kuwekeza katika ardhi ila yote haya yanapululuka kama manyoya ndicho namaanisha
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Sijaelewa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Shukrani sana
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Duuuh
Back
Top Bottom