Recent content by Codefucious

  1. C

    Tnyary online shop

    Naweza kukusaidia kufanya promotion ya website yako, njoo pm tuzungumze Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Maxence Melo naweza kufanya kazi ya kuweka matangazo ya ajira kwenye jukwaa hili bila mshahara (sharti ni 1 tu)

    Kaka, kwanza nikupongeze kwa kuwa mbunifu. blog yako inaitwaje? . Kuna project naifanyia kazi naweza nikakusaidia kufanya promotion nichek pm. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Ushauri wa Web Design and Development, na Systems Development

    Shukran kaka umeeleweka. Nikisema modification ya Sender ID namaanisha uwezo wa kuweka Sender ID ili message inayotumwa kutoka kwenye service ikifika kwenye simu ya recipient haioneshi number inaonesha ile sender ID uliyo specify.. Nadhani unaelewa maana nimeona umeiongelea pia. Ngoja...
  4. C

    Ushauri wa Web Design and Development, na Systems Development

    Kaka.. Natafuta online sms gateway ambayo ni affordable kutumia , inaweza kutumika via rest API na ambayo inaruhusu modification ya sender ID.. in your experience what can you suggest.. Nataka kutuma tu messages. Msaada wako bro. Thanks
  5. C

    Biashara za Online Zimejaa Matapeli

    Kukaa physically sio enough proof.. In fact unaweza ukakutana na mtu physically akawa amekushawishi virahisi kuliko ata online... Mi nadhani cha msingi ni kujielimisha, kujua what you're dealing with na kufanya maamuzi baada ya kufanya research ya kutosha. Dunia ya sasa ni Dunia ya online...
  6. C

    Biashara za Online Zimejaa Matapeli

    Watu walionunua bitcoin wakati ipo 200$ saivi ipo worth tens of thousands. High risk high reward. Calculated risks are part of the game. Matapeli wanajulikana tu cha msingi ni mtu kufanya research kabla ya kukurupuka lakini ukisema fursa zote za online ni scam kisa huoni mtu mhusika unakua...
  7. C

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Ni cross hao lakini unaweza kujionea mwenyewe walivyo good quality.. Bei ni nafuu hasa kwa mtanzania wa kawaida.
  8. C

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Kwa ambae yupo interested anichek.. Utawaona wazazi uamue mwenyewe... Kama kitu chenyewe au sio
  9. C

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Tatizo ukipost picha wapo watu wanachukuaga picha na kufanyia matangazo wao.. Mwisho wa siku unakuta mteja ambaye yupo serious anaziona picha kila sehem anajua na mmi tapeli..
  10. C

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Upo sahihi mkuu ni kweli pure breed bongo wapo wachache na mmi mwenyewe binafsi nimekutana nao hao cross wengi tu.. Ila naomba tu niseme kuwa wapo cross breed German Shepherds ambao ni very good quality. Nimekutana nao cross breeds wengi wanaoweza kupata mafunzo na kuwa na performance nzuri...
  11. C

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Anaehitaji German shepherd puppies anicheck whatsapp +8615868404284
  12. C

    Serious coders hawaivi chungu kimoja na maisha ya kijamii (anti social)

    Upo sawa kabisaaa.. Wengi movie zinawadanganya. Kuwa anti social ni character ya mtu binafsi na has nothing to do with coding. Lakini niseme tu kwamba ni professionals wachache sana wanaoipenda kazi yao kama programmers wanavyoipenda kazi yao. Ndo sababu wanaweza kukaa mda mrefu kazini /...
  13. C

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Acha kutumia kiwembe (Gillette), ndo suluhisho sahihi.. Kama huniamini.. Fanya jaribio, nenda kanyoe ndevu zako saluni kwa mashine kwa muda wa kama mwezi ivi bila kutumia kiwembe, nakuhakikishia utaona utofauti.
  14. C

    Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    True chief.. Yani umetoa point hadi nmefurahi.. Currently it's convinient japo sio the best tbh kwa sababu inakua na compromises nyingi.. Ila the nature of innovation inakuaga ivo ivo tu, ata kipindi watu walikua wanaanza kutumia treni zilikua coal powered which wasn't the best.. But...
  15. C

    Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    Earphones zipo ila ni implementation tofauti.. We are in the era of wireless charging kaka. Why have an earphone jack when we can go wireless? Ndo innovation io mzee. Ata zamani simu zilikua na buttons skuizi ni touch screen phones tu.. Its all innovation. Same goes no bezels.. Its time for...
Back
Top Bottom