Recent content by code47

  1. code47

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Kimenipa maujanja flani ambayo naimani kubwa mtu akiyazingatia lazima atakuwa vyedi Sana kinaitwa mtu tajiri zaidi Babylon (The Richest Man in Babylon)
  2. code47

    Pikipiki kubwa ndugu zangu.

    Chuma inakuwa kama hyo ila sasa mimi nimebaki na engine tu body niliuza alafu niliyemuuzia sijui yupo wapi nayo yani.
  3. code47

    Magari madogo ya toyota

    Asante sana mtaalam
  4. code47

    Pikipiki kubwa ndugu zangu.

    Alafu yamaha terminator au wanaiita yamaha cc 600 hivi here engine inaweza vaaa kwenye body ya pikipiki gani hizi kubwa au wapi naweza pata bodi yenye uwezo wa kubeba yamaha 600cc cold kick
  5. code47

    Magari madogo ya toyota

    Hivi engine ya wish 1zz inaweza fungal kwenye bodi ya gari gani naomba msaaada wakuu
  6. code47

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Jamani engine ya toyota wish 1zz unaweza funga kwenye gari gani au inaingiliana na gari gani
  7. code47

    Msaada kufunga star time

    Naitaji msaaada nafunga dish ya star time natumia satellite finder na sasa sijajua kama satellite finder yangu ni nzima au imekufa
  8. code47

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Nomaaaaa aiseeee watsaap ni kupoteza mda kabisa Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
  9. code47

    Upgrade android version

    Yeah il a jamaaa anaelekeza namna ya kuiupgrade mpaka uwe umeidownload sasa linki ya kudownload ndio hajaisema
  10. code47

    Upgrade android version

    Ok sasa indio nataka nijue nazipataje hizo appfile maaana nikizigugo naona kizunguzungu kama unaweza pata slimya kitkat link I nisaidie arif b
  11. code47

    Kupoteza cheti

    Ok nauliza itanicost bei gani ndugu yangu kama kuna mtu anafahamu
  12. code47

    Kupoteza cheti

    Aiseee naomba msaaadat kufahamu process kama umepoteza cheti cha form four unaanzia wapi na cost itakua ni shi ngapi
Back
Top Bottom