Recent content by cocomelon1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Tunaoifatilia beyond bar na bon apetite your majesty tujuane Mambo ya sheria sipendi ila for some reason nimejikuta nafatilia sana hii beyond bar
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

    Kama kweli alimsengenya alikosea sana,inabidi akubali matokeo! Huwezi msengenya bosi wako hata afanyeje,alikosa hekima na alisahau kuwa nafasi aliyonayo wengi wanaitamani so one mistake and you are out!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kikurya ni nomaa

    🤣🤣🤣🤣🤣noma sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

    Wanawake wenyewe wanapenda hao madaktari wa kiume Labda kama unaongelea wanawake wa kiarabu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

    Mimi nna roho nzuri sanasana and a very forgiving heart!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mbona hii first night with he duke naona siielewi. Kabisa,au ni mimi tu?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kweli hii when the stars gossip sijawahi kuielewa kabisa niliishia episode ya 2 tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Ndio hizo mi nipo kwenye afya
  9. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Haya mambo mi sina hamu kabisa mana nilianza kuomba toka 2014 adi leo hii sijawahi kupata,kuna kipindi walipokua wanapangia tu watu bila interview wakasema wanaangalia walomaliza miaka ya nyuma cha kushangaza unakuta wengi wa 2020,2021 na sie wa 2013 tunaachwa! Mkuu jipe moyo ila mambo haya huwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

    Mh,usikute ndo huyu alipeleka faili kwa mange RIP
  11. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya viongozi wamezuia comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kupooza No Reforms No Election'

    Kasheshe🤣🤣🤣🤣 Ngoja tuone,mana kuanzia jana hata wauza viatu wakipost watu wanatiririka na usemi wao! I am sure watachoka soon!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hafai kuwa Kiongozi kwenye Taasisi zisizo na misingi Imara, kuna maamuzi ya busara zaidi ambayo uwa ndani ya uanaume utumika

    Huyu mpende mana anakuamini anajua una njia huwez kukwama,to her you are a superman🤣🤣🤣
Back
Top Bottom